Mtatiro Julius apata ajali mbaya Morogoro

hahaaaa.. panegkua na copy righ law humu ndani ningkuweka ndani kwani hiyo umekopi pesti live

anyway.... kanawe basi
 
Naungnana na wenzangu katika kutoa pole kwa kijana mwenzetu ambaye ni mpiganaji wetu.
 
Wadau,

Taarifa zilizonifikia hivi punde ni kwamba kamanda mpambanaji wa CUF na kiongozi wa kutumainiwa wa chama hicho JULIUS MTATIRO amepata ajali mbaya eneo la KILOMETA KUMI kutoka Morogoro mjini.
:
Acha uongo hapo red.
Natoa pole kwa majeruhi wote
Julias ni kamanda ila sio mpambanaji, ni kiongozi ila si wa kutumainiwa
Ni mtu kama mtu like Marytina
 
Ohooo!!!!! Mtatiro!!: God is great, hopefuly together with y're crews will get well soon. Poleni aiseee!
 
Kama nimesoma vizuri chanzo cha ajali hii ni kukatika kwa "studs" za moja ya matairi ya nyuma. Hili halina uhusiano wowote na Morogoro ....
Wakubwa, hivi "studs" za tairi ndio nini?
 
Kumbe hata wa Cuf nao wanaitwa makamanda?! Mimi nilijua Makamanda ni wale wanaovaa magwanda tu.
Anyway, pole mtatiro wa CUF poleni CCM B.
 
Pole sana Mtatiro, uwe muangalifu kwa wewe na Chadema ndio wakombozi wa nchi hii.
 
Nimeona gari alilopata nalo ajali, nikitokea dodoma leo asubuhi.ni kabla hujafika mizani morogoro
kama unatokea dodoma.Huwezi amini kama mtu ametoka salama gari limekuwa dogo kama size ya saloon
 
Wakubwa, hivi "studs" za tairi ndio nini?

Ni nut zinazoshikilia taiiri zilizo kwenye kitu kinachozungushwa na injini kupitia diff kama ni 4wd. Kama ni 2wd, tairi za mbele hazungushwi na diff kwa kawaida, ila zinashikiliwa na kitu kingine na kuzunguka kwa msukumo wa ujumla wa gari. Sahani kiswahili ni kigumu kwenye haya mambo ya teknologia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…