mzee wa mawe
Senior Member
- Aug 2, 2011
- 151
- 15
. Shukrani kwa wote waliomtakia afya njema yeye na wote waliokuwa ndani ya gari hilo..
Wewe unatoa shukrani kwa niaba ya nani?, mijitu mingine bana vihere here sana.
sio kweli kuwa kuna mapepo labda barabara ni nzuri sana kiasi kwamba madereva wanakuwa mwendo kasi. Na hao CUF hawapati kitu Igunga wakae tu waendelee na mfungo. Hilo ni jimbo la SISIEMU mpaka kiamaHilo eneo linaonekana pana caravan ya mapepo na wachawi.
Pole Mtatiro na wote uliokuwa nao.
Moro is my homeland,lakin kwa ajali inanitisha
yani maandishi uliotoa yamefanana sana na avatar yakoWewe unatoa shukrani kwa niaba ya nani?, mijitu mingine bana vihere here sana.
pole mpiganaji, mungu akujalie upone haraka urudi kwenye uwanja wa mapambano.
yani maandishi uliotoa yamefanana sana na avatar yako
mambaff
Wadau,
kamanda mpambanaji wa CUF na kiongozi wa kutumainiwa wa chama hicho JULIUS MTATIRO amepata ajali mbaya eneo la KILOMETA KUMI kutoka Morogoro mjini.