Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Unakataa kuitikia wito wa kamati ya Bunge,
Unakataa kwenda mahakamani unapoitwa kwenye kesi iliyofunguliwa na Freeman Mbowe,
Unavamia kituo cha CLOUDS kwa mitutu ya bunduki,
Na sasa umekataa kuhojiwa na Kamati ya Waziri, tena kwa kutokea mlango wa nyuma...
Brother, ha kya mama WEWE NI MWANAUME WA SHOKA!
JSM