Mtatiro: hivi Dr. Mwakyembe unafanya nini ofisini, huna tofauti na Bwana Yule

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,885
" Waziri unapotoa AMRI kwa mbwembwe tena ukiiwekea na DEADLINE, kesho yake RAIS wako anaifuta AMRI hiyo kupitia taarifa rasmi ya IKULU.
Wewe waziri hadi kesho kutwa yake bado tu unakalia jumba la serikali, hujakabidhi gari, mlinzi n.k. Jiongeze! Akili si lazima uwe na PhD. Yani unasubiri hadi uambiwe TOKA! A PhD holder, unakuwa na akili kama za Bwana Yule! "

Source; Julius Mtatiro Facebook page

Note: Mambo ya vyeti vya kuzaliwa na vifo iko chini ya wizara ya Mambo ya ndani sio sheria na katiba.
 
Waziri unapotoa AMRI kwa mbwembwe tena ukiiwekea na DEADLINE, kesho yake RAIS wako anaifuta AMRI hiyo kupitia taarifa rasmi ya IKULU. Wewe waziri hadi kesho kutwa yake bado tu unakalia jumba la serikali, hujakabidhi gari, mlinzi n.k. Jiongeze! Akili si lazima uwe na PhD. Yani unasubiri hadi uambiwe TOKA! A PhD holder, unakuwa na akili kama za Bwana Yule!
Hebu mwacheni waziri wetu jaman,

Mzigo alonao ni mzito mpaka sasa

TLS imemzingua

Bosi wake kamkata ulimi

Mwataka afe? Kuweni na huruma na huyu baba
 
Waziri unapotoa AMRI kwa mbwembwe tena ukiiwekea na DEADLINE, kesho yake RAIS wako anaifuta AMRI hiyo kupitia taarifa rasmi ya IKULU. Wewe waziri hadi kesho kutwa yake bado tu unakalia jumba la serikali, hujakabidhi gari, mlinzi n.k. Jiongeze! Akili si lazima uwe na PhD. Yani unasubiri hadi uambiwe TOKA! A PhD holder, unakuwa na akili kama za Bwana Yule!

From JM Fb

Note: Mambo ya vyeti vya kuzaliwa na vifo iko chini ya wizara ya Mambo ya ndani sio sheria na katiba.
Kuna haja ya kuchunguza vyeti vya Dr Harison
 
Siku hizi kawa mchemfu mno. Uwepo wa Prof. Kabudi pia unazidi kumchanganya. Na Huenda Magu kaamua kumpa za uso akiandaa mazingira ya kumreplace.
 
Adhabu ya kukosolewa Mtu Mzima imemtosha jamani! Mwacheni atulie Ajitafakari!!
 
Bora hata bwana yule tunajua yuko kwa lengo maalum. Huyu anadhalilisha taaluma yake.
 
Afadhali angetoa tamko kisheria kuhusu yule mkuu wa mkoa anayetamba kwa vyeti vya kuazima na magari ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya.!
 
Katika mazingira yaliyoko waziri hupungikiwa nini kuomba ushari kwa mkuu wake kabla ya kuongea?

Na washawasha!
 
Back
Top Bottom