Mtatiro hautabaki salama CUF Prof. Lipumba akiondoka!

Kwa hili la lipumba wasaliti wote watasimama Na lipumba alianza profesa mwenzake kitla kumtetea sasa habibu wote wanampinga mtatiro kisa tu kasimamia ukweli usishangae kumsikia lipumba akipokelewa kwenye kijiwe chao cha usaliti hiki chama kitakuja kufa kifo kibaya sana mwisho Wa usaliti ni kusalitiana
 
1471876156001.jpg
 
Anafuata misingi ya siasa za upinzani tanzania unafiki bila aibu!
 
Acha kutetea mambo ya ajabu, Profesa Lipumba alitakiwa aweke maslahi mapana ya chama kuliko yake binafsi.

Iweje Profesa Lipumba avamie mkutano kihuni?
Tena mkutano ambao yeye si mjumbe wake?
Sasa nyie machadema mambo ya Lipumba na cuf yanawahusu nini?
 
Mkuu,
Mbona tena unajichanganya ka juice ya embe na tikiti?? Adui wa Mtatiro ni Maalim Seif au Chadema?? Umeeleza vizuri hatari ya Mtatiro CUF kuwa ni Maalim Seif kwa sababu yako mbofu ya udini. Sawa, sasa Chadema imetoka wapi CUF? Au tuseme Maalim sasa yupo Chadema?? Mambo ingine jamani, acheni kuyasema hovyo kihivyo.
Weye shabiki mnazi wa Lipumba umeona kaikosa nafasi ya kuiua CUF sasa unaanza zako za kuleta ati Maalim anataka kuia CUF. Utakufa weye uiache CUF. Cuf ipo mioyoni mwa watu wala si moyoni mwa mtu mmoja.
kama Lipumba aliipenda CUF na sasa anataka kuinusuru, asingeliitupa kwenye kipindi kile kigumu na muhimu cha uchaguzi. Baada ya kulipwa ili kuuchafua ule muungano wa kuitikisa ccm hela ameitumia vibaya au labda hawakumlipa kikamilifu ka mwenzie Slaa. Hela imeisha akarudi nyumbani kwa miguu. Wajinga ndo waliwao. Imekula kwenu CUF hawamtaki tena akaanzishe chama kingine ka ZZK
 
Maalim Seif (sultani wa CUF) anaonekana mjanja kweli..amezichanga karata zake vyema kumtumia Mtatiro Julius,kijana aliyeibuliwa kisiasa na Prof.Lipumba hadi kumteua Makamu Katibu Mkuu Bara. Maalim Seif anamtumia Mtatiro kama fimbo ya kumchapia Prof.Lipumba ili ajiweke kando na lawama itakayotokea na hata itakapofika siku ya kumshughulikia yeye (Mtatiro) kazi iwe rahisi.

Kuondoka kwa Mtatiro wadhifa wa Naibu Katibu Mkuu CUF kulichagizwa na makada wa CUF upande wa Zanzibar Kumtuhumu kufanya ufisadi kwenye gharama za helkopta huku sababu ndani ya kapeti zikiwa ni udini na nyota ya Mtatiro ilionekana kung'aa ndani ya CUF, baadaye Mtatiro alitoa sababu ya kwenda kusoma na kumuacha Prof.Lipumba na shinikizo kubwa kwa kumtetea.

Mtatiro anafanya haya yote na kutoa maelezo ili kupata sapoti ya viongozi wa CUF japo hawamwamini na zaidi kuungwa mkono na CHADEMA katika harakati zake za ubunge ilhali CHADEMA hawana dhati na Mtatiro na atabaki mwenyewe baada ya Prof.Lipumba Kuondoka.

Nia ya CHADEMA ni kuiangamiza CUF upande wa bara ikose ushawishi na vile vile kwa sasa hawatakubali kuona chama kingine au mwanasiasa kutoka chama kingine anakua hivyo watafanya lolote kumuondoa.

Seif yeye hana haja na siasa za bara yeye Zanzibar ndio lengo lake kuu hivyo haoni haja ya CUF kumea bara.

Mtatiro endapo lengo la Maalim Seif kumuondoa Lipumba litatimia hautakuwa salama,hao kina Kambaya unaowasaliti ndio walikulea na kukipigania chama bara...labda baada ya tukio hilo ujiunge na CHADEMA.

Nawasilisha.
Nawewe upo salama?
 
Na alijiondoa mwenyewe akasema chama ni taasisi na sio mtu
 
Toka lini ccm mkawa washauri wazuri wa cuf? Lipumba aliondoka toka mda mbona chama hakijaasilika ziadi ya kukua na kuongeza majimbo? Ushauri wko peleka lumumba
 
Acha kutetea mambo ya ajabu, Profesa Lipumba alitakiwa aweke maslahi mapana ya chama kuliko yake binafsi.

Iweje Profesa Lipumba avamie mkutano kihuni?
Tena mkutano ambao yeye si mjumbe wake?
Nimesema Lipumba ni mtu ambaye ukimpa pesa ili atembee uchi mbele za watu yeye yupo tayari.
 
Mtatiro Kaza uzi!! Wanadhani sheria ulioenda kusomea ni kama za mawakili wa CCM? Wazee wa mapicha picha?

KAZA NATI. LIPUMBA tumkute MAKUMBUSHO Butiama.
 
Mchange nae ataishia tu kuvaa matisheti ya ACT yani chama kama gereji bubu..akitoka ACT sijui ataenda wapi hadi huruma yani eti kisa Lipumba alimsaidia Mtatiro amtetee Lipumba anapoenda kinyume na chama..inabidi ajitafakari mara 2 mana yeye ndo anaonekana mnafiki
Eti ndio aina ya wanasiasa hawa, uchwara mtupu
 
Mtatiro Kaza uzi!! Wanadhani sheria ulioenda kusomea ni kama za mawakili wa CCM? Wazee wa mapicha picha?

KAZA NATI. LIPUMBA tumkute MAKUMBUSHO Butiama.
Bila msaada wa Magufuli Seif anapotea.Wajumbe wanawake tokea Zanzibar wa nini?
 
Mkuu,
Mbona tena unajichanganya ka juice ya embe na tikiti?? Adui wa Mtatiro ni Maalim Seif au Chadema?? Umeeleza vizuri hatari ya Mtatiro CUF kuwa ni Maalim Seif kwa sababu yako mbofu ya udini. Sawa, sasa Chadema imetoka wapi CUF? Au tuseme Maalim sasa yupo Chadema?? Mambo ingine jamani, acheni kuyasema hovyo kihivyo.
Weye shabiki mnazi wa Lipumba umeona kaikosa nafasi ya kuiua CUF sasa unaanza zako za kuleta ati Maalim anataka kuia CUF. Utakufa weye uiache CUF. Cuf ipo mioyoni mwa watu wala si moyoni mwa mtu mmoja.
kama Lipumba aliipenda CUF na sasa anataka kuinusuru, asingeliitupa kwenye kipindi kile kigumu na muhimu cha uchaguzi. Baada ya kulipwa ili kuuchafua ule muungano wa kuitikisa ccm hela ameitumia vibaya au labda hawakumlipa kikamilifu ka mwenzie Slaa. Hela imeisha akarudi nyumbani kwa miguu. Wajinga ndo waliwao. Imekula kwenu CUF hawamtaki tena akaanzishe chama kingine ka ZZK
Kijana hii ni falsafa itakuwa ngumu kwako kuelewa,tuliza akili.
 
Toka lini ccm mkawa washauri wazuri wa cuf? Lipumba aliondoka toka mda mbona chama hakijaasilika ziadi ya kukua na kuongeza majimbo? Ushauri wko peleka lumumba
Hakijaasilika=Hakijaathirika
 
Back
Top Bottom