Mtatiro hautabaki salama CUF Prof. Lipumba akiondoka!

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Posts
17,505
Reaction score
16,006
Maalim Seif (sultani wa CUF) anaonekana mjanja kweli..amezichanga karata zake vyema kumtumia Mtatiro Julius,kijana aliyeibuliwa kisiasa na Prof.Lipumba hadi kumteua Makamu Katibu Mkuu Bara. Maalim Seif anamtumia Mtatiro kama fimbo ya kumchapia Prof.Lipumba ili ajiweke kando na lawama itakayotokea na hata itakapofika siku ya kumshughulikia yeye (Mtatiro) kazi iwe rahisi.

Kuondoka kwa Mtatiro wadhifa wa Naibu Katibu Mkuu CUF kulichagizwa na makada wa CUF upande wa Zanzibar Kumtuhumu kufanya ufisadi kwenye gharama za helkopta huku sababu ndani ya kapeti zikiwa ni udini na nyota ya Mtatiro ilionekana kung'aa ndani ya CUF, baadaye Mtatiro alitoa sababu ya kwenda kusoma na kumuacha Prof.Lipumba na shinikizo kubwa kwa kumtetea.

Mtatiro anafanya haya yote na kutoa maelezo ili kupata sapoti ya viongozi wa CUF japo hawamwamini na zaidi kuungwa mkono na CHADEMA katika harakati zake za ubunge ilhali CHADEMA hawana dhati na Mtatiro na atabaki mwenyewe baada ya Prof.Lipumba Kuondoka.

Nia ya CHADEMA ni kuiangamiza CUF upande wa bara ikose ushawishi na vile vile kwa sasa hawatakubali kuona chama kingine au mwanasiasa kutoka chama kingine anakua hivyo watafanya lolote kumuondoa.

Seif yeye hana haja na siasa za bara yeye Zanzibar ndio lengo lake kuu hivyo haoni haja ya CUF kumea bara.

Mtatiro endapo lengo la Maalim Seif kumuondoa Lipumba litatimia hautakuwa salama,hao kina Kambaya unaowasaliti ndio walikulea na kukipigania chama bara...labda baada ya tukio hilo ujiunge na CHADEMA.

Nawasilisha.
 
Acha kutetea mambo ya ajabu, Profesa Lipumba alitakiwa aweke maslahi mapana ya chama kuliko yake binafsi.

Iweje Profesa Lipumba avamie mkutano kihuni?
Tena mkutano ambao yeye si mjumbe wake?
 
Naona vijana wa lumumba mnahangaika kwa nguvu kubwa sana Lipumba arudishwe kugombea uenyekiti wa CUF kama huo ndo mpango wenu utakuwa umeshafeli tayari.
Lipumba hafai kuwa ndani ya chama cha CUF alichokifanya jana kuleta mamluki wake kufanya fujo kwenye KIKAO CHA KAMATI KUU YA CUF nadhani ndo amejiharibia kabisa. #LIPUMBA basi tena ajiandae kwenda kulima mihogo huko kwao au kurudi kwa hao waliomtuma.
 
Hakuna lisilo na mwisho....ngoja tusubiri...hata Seif hatadumu CUF!
 
Acha kutetea mambo ya ajabu, Profesa Lipumba alitakiwa aweke maslahi mapana ya chama kuliko yake binafsi.

Iweje Profesa Lipumba avamie mkutano kihuni?
Tena mkutano ambao yeye si mjumbe wake?
Halafu kabisa kuna T shirts eti zimeandikwa "Lipumba kwanza chama baadaye" hii ni zaidi ya akili ya matope
 
Maalim Seif (sultani wa CUF) anaonekana mjanja kweli..amezichanga karata zake vyema kumtumia Mtatiro Julius,kijana aliyeibuliwa kisiasa na Prof.Lipumba hadi kumteua Makamu Katibu Mkuu Bara. Maalim Seif anamtumia Mtatiro kama fimbo ya kumchapia Prof.Lipumba ili ajiweke kando na lawama itakayotokea na hata itakapofika siku ya kumshughulikia yeye (Mtatiro) kazi iwe rahisi.

Kuondoka kwa Mtatiro wadhifa wa Naibu Katibu Mkuu CUF kulichagizwa na makada wa CUF upande wa Zanzibar Kumtuhumu kufanya ufisadi kwenye gharama za helkopta huku sababu ndani ya kapeti zikiwa ni udini na nyota ya Mtatiro ilionekana kung'aa ndani ya CUF, baadaye Mtatiro alitoa sababu ya kwenda kusoma na kumuacha Prof.Lipumba na shinikizo kubwa kwa kumtetea.

Mtatiro anafanya haya yote na kutoa maelezo ili kupata sapoti ya viongozi wa CUF japo hawamwamini na zaidi kuungwa mkono na CHADEMA katika harakati zake za ubunge ilhali CHADEMA hawana dhati na Mtatiro na atabaki mwenyewe baada ya Prof.Lipumba Kuondoka.

Nia ya CHADEMA ni kuiangamiza CUF upande wa bara ikose ushawishi na vile vile kwa sasa hawatakubali kuona chama kingine au mwanasiasa kutoka chama kingine anakua hivyo watafanya lolote kumuondoa.

Seif yeye hana haja na siasa za bara yeye Zanzibar ndio lengo lake kuu hivyo haoni haja ya CUF kumea bara.

Mtatiro endapo lengo la Maalim Seif kumuondoa Lipumba litatimia hautakuwa salama,hao kina Kambaya unaowasaliti ndio walikulea na kukipigania chama bara...labda baada ya tukio hilo ujiunge na CHADEMA.

Nawasilisha.
Lipumba alijiondoa mwenyewe CuF,hajaondolewa na mtatiro!
 
Wewe uko hapa janvini kama mwajiliwa wa ccm upande wa propaganda, hii ndio ofisi yako. Huwezi kumshauri adui yako kwa nia ya kumwokoa. Topic zako zote either unaizungumza chadema au cuf, you are in a dust bin bro, baadhi ya thread zako ni hizi na hauna moral rights kumshauri mtatiro

CHADEMA siasa za ukanjanja zitawaponza; Kutetea upuuzi kwa kigezo cha kutengeneza wapiga kura!

Yeriko Nyerere wafundishe Mbowe, Lowassa na CHADEMA kwa ujumla dhana ya serikali kuhamia Dodoma

Tundu Lissu: Mtunzi Katiba ya kidikteta CHADEMA aliyegeuka mwigizaji filamu wa kudai ‘’Demokrasia’’

Watakaothibitika kufanya ufisadi UVCCM wapelekwe CHADEMA kuungana na wenzao!

CHADEMA: Kutoka chama makini hadi kuwa ‘’ukoo wa panya’’. Wanaongozwa na vipaumbele vifuatavyo...

Back
Top Bottom