Umemdadavuwa barabaraOna nyuzi zako hapa chini na unavyohangaika na mtatiro na cuf. kweli Lumumba mnampenda lipumba
Sakaya ailima barua CUF
Msajili amlima Barua Maalim Seif kuhusu sakata la Lipumba
Lipumba na wafuasi wake waachiwe CUF na CHADEMA watengeneze chama kipya na Seif kuelekea 2020!
Mtatiro kwanini ulimruhusu Seif kuingiza wajumbe wasio halali kupiga kura? Umefeli uenyekiti wa muda
Mtatiro hautabaki salama CUF Prof. Lipumba akiondoka!
Mtatiro: 'CUF inapigania haki sawa kwa watanzania wote,hasa Wazanzibar!'Nini kaana yake?
Mwenyekiti wa muda wa Chama Cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro amesema kuwa hatawania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho katika uchaguzi unaopangwa kufanyika hivi karibuni. Mtatiro alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa muda wa chama hicho akikalia nafasi iliyoachwa na Profesa Ibrahim Lipumba aliyejiuzulu mwaka jana na baadae mwaka huu kuzua sintofahamu baada ya kutengua uamuzi wake na kutaka kurejeshewa nafasi hiyo.
My take;
Mtatiro ni bora umejiondoa hakika ungeambulia aibu wewe baki tu kuwa mwenyekiti wa Sultani Seif.
Du huyu jamaa ananuka KIJANI tupu. Dhambi ya huyu jamaa ni kumshauri Pr Lipumba kujiuzulu akidhani kwa kufanya hivyo, CUF itakufa.Ona nyuzi zako hapa chini na unavyohangaika na mtatiro na cuf. kweli Lumumba mnampenda lipumba