Mtatiro Aukataa uenyekiti CUF

Mtatiro Aukataa uenyekiti CUF

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Posts
17,505
Reaction score
16,006
Mwenyekiti wa muda wa Chama Cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro amesema kuwa hatawania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho katika uchaguzi unaopangwa kufanyika hivi karibuni. Mtatiro alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa muda wa chama hicho akikalia nafasi iliyoachwa na Profesa Ibrahim Lipumba aliyejiuzulu mwaka jana na baadae mwaka huu kuzua sintofahamu baada ya kutengua uamuzi wake na kutaka kurejeshewa nafasi hiyo.

My take;
Mtatiro ni bora umejiondoa hakika ungeambulia aibu wewe baki tu kuwa mwenyekiti wa Sultani Seif.
 
Mtatiro anasumbua sana kwa sasa mitaa ya Lumuba hapo, hamlali kwa sasa.

Tangu kuwakwamisha kwenye harakati zenu za kuchomeka pandikizi lenu magamba ndani ya CUF naona mnahaha kweli.

Huu ni uzi wa tatu nauona umeauanzisha kuhusu Mtatiro ndani ya dakika 20 hivi.
 
uchaguzi itabidi ufanyikie Pemba, huku bara watauharibu wale jamaa na jamaa yao.
 
Mwenyekiti wa muda wa Chama Cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro amesema kuwa hatawania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho katika uchaguzi unaopangwa kufanyika hivi karibuni. Mtatiro alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa muda wa chama hicho akikalia nafasi iliyoachwa na Profesa Ibrahim Lipumba aliyejiuzulu mwaka jana na baadae mwaka huu kuzua sintofahamu baada ya kutengua uamuzi wake na kutaka kurejeshewa nafasi hiyo.

My take;
Mtatiro ni bora umejiondoa hakika ungeambulia aibu wewe baki tu kuwa mwenyekiti wa Sultani Seif.
Tangu mwanzo kabla ua uchaguzi uliopita kwa vurugu, alishasema kuwa hatawania uenyekiti. Usiwe mpotoshaji na propaganda za kipuuzi. Unadhani uzao wako wooooooooooooooote utakuwa CCM, tanguliza maslahi ya wengi kuliko chama chako.
 
Mtatiro anasumbua sana kwa sasa mitaa ya Lumuba hapo, hamlali kwa sasa.

Tangu kuwakwamisha kwenye harakati zenu za kuchomeka pandikizi lenu magamba ndani ya CUF naona mnahaha kweli.

Huu ni uzi wa tatu nauona umeauanzisha kuhusu Mtatiro ndani ya dakika 20 hivi.
Ndio kakataa kugombea...jikite kwenye hoja na si kuhoroja maneno!
 
Mwenyekiti wa muda wa Chama Cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro amesema kuwa hatawania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho katika uchaguzi unaopangwa kufanyika hivi karibuni. Mtatiro alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa muda wa chama hicho akikalia nafasi iliyoachwa na Profesa Ibrahim Lipumba aliyejiuzulu mwaka jana na baadae mwaka huu kuzua sintofahamu baada ya kutengua uamuzi wake na kutaka kurejeshewa nafasi hiyo.

My take;
Mtatiro ni bora umejiondoa hakika ungeambulia aibu wewe baki tu kuwa mwenyekiti wa Sultani Seif.

Mbinu zenu zimeshafeli hata kama mtatiro asipogombea, kamwe pandikizi lenu Lupumba hawezi kuwa mwenyekiti
 
Siyo kwamba Lipumba hawezi kuwa mwenyekiti wa CUF, yeye ndo mwenyekiti wa CUF kwa mujibu wa katiba yao!
 
Hahahahaa, katiba ya Lumumba au? maana kwa katiba ya cuf kutokana na alichokifanya lupumba kilitoa Fursa ya nafasi ya mwenyekiti kuwa wazi. kwa sasa kuna mwenyekiti Wa muda huku uchaguzi wa mwenyekiti ukisubiriwa, na lipumba hana vigezo tena kwa mjibu Wa katiba ya cuf. hahaahahaha, mmekwisha maana kazi mliyotaka aifanye tena haitawezekana
 
Ndio kakataa kugombea...jikite kwenye hoja na si kuhoroja maneno!
Atagombea vipi na wakati tangu mwanzo hakumboea? Au Mtatiro ndio threat kwenu.

Ushauri: kama humpendi mtu mpoteze, kumuongelea kila siku ndio unampa kick bila kujielewa.
 
sio lazima kila siku uandike mada za kuhusu wapinzani siku nyingine kama huna kazi nenda hata kafanye shughuli za kujitolea, ulitaka matiro agombee wakati hakuchukua fomu ya kugombea huo uenyekiti?! Akili za lumumba wengine ni aibu sana .
 
Mwenyekiti wa muda wa Chama Cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro amesema kuwa hatawania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho katika uchaguzi unaopangwa kufanyika hivi karibuni. Mtatiro alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa muda wa chama hicho akikalia nafasi iliyoachwa na Profesa Ibrahim Lipumba aliyejiuzulu mwaka jana na baadae mwaka huu kuzua sintofahamu baada ya kutengua uamuzi wake na kutaka kurejeshewa nafasi hiyo.

My take;
Mtatiro ni bora umejiondoa hakika ungeambulia aibu wewe baki tu kuwa mwenyekiti wa Sultani Seif.

Ona nyuzi zako hapa chini na unavyohangaika na mtatiro na cuf. kweli Lumumba mnampenda lipumba

Sakaya ailima barua CUF

Msajili amlima Barua Maalim Seif kuhusu sakata la Lipumba

Lipumba na wafuasi wake waachiwe CUF na CHADEMA watengeneze chama kipya na Seif kuelekea 2020!

Mtatiro kwanini ulimruhusu Seif kuingiza wajumbe wasio halali kupiga kura? Umefeli uenyekiti wa muda

Mtatiro hautabaki salama CUF Prof. Lipumba akiondoka!

Mtatiro: 'CUF inapigania haki sawa kwa watanzania wote,hasa Wazanzibar!'Nini kaana yake?
 
Mwenyekiti wa muda wa Chama Cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro amesema kuwa hatawania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho katika uchaguzi unaopangwa kufanyika hivi karibuni. Mtatiro alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa muda wa chama hicho akikalia nafasi iliyoachwa na Profesa Ibrahim Lipumba aliyejiuzulu mwaka jana na baadae mwaka huu kuzua sintofahamu baada ya kutengua uamuzi wake na kutaka kurejeshewa nafasi hiyo.

My take;
Mtatiro ni bora umejiondoa hakika ungeambulia aibu wewe baki tu kuwa mwenyekiti wa Sultani Seif.
Huo ni msimamo alio utoa siku nyingi sana,
 
Kutowania ndio kuukata? kwani na cuf na wao wana utamaduni wa kukabidhiana?
 
Back
Top Bottom