Mtatiro amvaa Mkurugenzi TAKUKURU

Mtatiro amvaa Mkurugenzi TAKUKURU

Baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, kutoa onyo kwa Mbunge Nassari kuhusu ushahidi anaoutoa kuhusu wateule wa Rais kuwanunua madiwani Arusha, Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi, (CUF) Julius Mtatiro ameitaka taasisi hiyo kuchukua hatua na na siyo kumtishia mbunge huyo.

Mtatiro%2012.jpg

Mtatiro ametumia ukurasa wake wa Facebook, kwa kusema kwamba alitegemea TAKUKURU ingempongeza sana Nassari kwa kazi aliyofanya lakini kinyume chake wanamtisha na kumshtaki kwa kauli yake aliyoitoa jana kuwa ataendelea kutoa series ya matukio hayo yanayohusisha rushwa.

Mtatiro ameendelea kusema kwamba TAKUKURU ni chombo cha wananchi, siyo watawala na Nassari ni kiongozi na ni mwananchi, ana haki zote za kuikosoa na kuishinikiza taasisi ya kiuchunguzi ichukue hatua stahiki.

"TAKUKURU siyo mahakama na kwa kweli haina kinga dhidi ya "kulaumiwa na kushinikizwa na umma". TAKUKURU ijibu mashinikizo haya kwa kuchukua hatua, aidha kuwafikisha mahakamani wale watoa rushwa au kuwasafisha. Na iache kumtisha Nassari" ameandika Mtatiro

Aidha Mtatiro amehoji kwamba "Kwani Nassari akiendelea kutoa hizo video za ziada anafanya kosa gani kisheria. Kama ni kosa kwa nini wale watuhumiwa (watoa rushwa na wapokeaji) hawajampeleka mahakamani"?

Pamoja na hayo Mtatiro amesema kutokana na kauli za Mkurugenzi wa TAKUKURU haitabaki salama kwa kauli na mienendo ya namna hiyo ikiendelea kutolewa.
Huyu kumbe anatumiwa na chadema kuvuruga cuf.
 
Huyo boss wa Takukuru anadhani watu watakaa kimya bila kumshinikiza, ni nani asiyejua vyombo vingi vya nchi hii vinavyofanya kazi kwa kujivuta? Cdm walitangaza miezi kadhaa nyuma kwamba hao madiwani wameondoka kwa kupewa rushwa, ni hatua gani walichukua mpaka sasa. Sawa tuchukulie ndio utendaji wao wa kizembe, sasa ushahidi umeletwa ni hatua gani mpaka sasa wanechukua? Sanasana ni vitisho visivyo na maana. Hao Takukuru kazi imebaki kuchunguza watu wenye kutofautiana na watawala.

Methinks TAKUKURU wameelekezwa na mamlaka za kisiasa kutoa hiyo kauli ya kusikitisha. Haiyumkiniki chombo cha uchunguzi chenye weledi kama hiki na kinachotegemea sana kupewa ushirikiano na raia wema kujitokeza hadharani mchana kweupe kuwakemea na kuwatisha hao hao raia waliojitolea kukisaidia kupata taarifa za rushwa za kisiasa. Badala ya kuonekana mshirika muhimu Nassari sasa amegeuka kero, kiasi cha kutishiwa kugeuziwa kipande! It is incredible and pathetic. Sijui kwanini taasisi zetu zinaporomoka kwa kasi namna hii. Na kwa mtaji huu, siku siyo nyingi tutakuwa hatuna nchi, kama alivyopata kusema Mzee Wasira bungeni pale baadhi ya Wabunge walipoanza kujenga hoja ya kuikataa taarifa ya CAG kuhusu Tegeta escrow account!
 
Mkuu wa takukuru anatakiwa kufahamu kuwa hii ni dunia ya kohoji na sio ya kukaa kimya tena, kama anataka kuishi na kizazi kisichohoji basi sio hiki labda kilicholala makaburi.
 
Methinks TAKUKURU imeelekezwa na wanasiasa kutoa kauli hii ya kusikitisha. Sidhani kwamba na weledi wao wanaweza kujisahau kiasi hiki kuwa kazi yao inawahitaji sana raia. Chombo kinawatisha raia? Nanyaro kweli ni mtu wa kukemewa na kutishiwa kushikishwa adabu na chombo kinachopambana na rushwa? Very pathetic. Sijui kwanini vyombo vyetu vinaporomoka kwa kasi namna hii! Kwa mtaji huu, kweli siku siyo nyingi tutakuwa hatuna nchi tena kama alivyopata kutahadharisha Mzee Wassira pale Wabunge limbukeni walipojaribu kujenga hoja ya kukataa taarifa ya CAG kuhusu fedha za Tegeta escrow account.
 
Kama hakuelewa maelezo ya Mkurugenzi wa takukuru basi huyu Mtatiro naye ni mburura. Kwanza aende akamalizane na Professor Lipumba.
Kwa mtu mwenye akili ndogo hatamwelewa bosi wa TAKUKURU ila kwa wenye akili kubwa kama Mtatiro amemwelewa sana ndio maana kaongea alichoongea
 
..takukuru haijawahi kukamata rushwa kubwa na kushinda kesi....hili tu linatosha kuonyesha jinsi taasisi hii inavyofanya kazi kimagumashi kwa kodi zetu.... Kama mtoa habari (whistle blower) anatishiwa hivi je tuiaminije takukuru????.... Yani ni aibu mnoo..na huyu mkuu wake ndio ameanza kazi alafu ategemee ushirikiani wapi?...taasisi ya kukumbatia rushwa hii..ndio maana hata wezi wa escrow hadi leo wameshindwa kuwakamata...achilia mbali hao kina sigh waloshikwa kwa shinikizo na kelele za RAIA....na kesi watashinda....

..takukuru imewahi kumshika jerry muro na rushwa lakini aliwashinda na leo anatamba na matusi kwa wapinzani...
...takukuru walimshika mbunge wa bahi baduel na rushwa akawashinda...pamoja na ushahidi wa mkurugenzi wa bagamoyo wakati ule..

..pia takukuru walimshika kangi lugola na rushwa...akawashinda na leo ni nsobu waziri...

..kwa kifupi history ya takukuru ni chafu mno...na inazidi kuchafuka kwa kauli za wakuu wake kama hizi...
 
Baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, kutoa onyo kwa Mbunge Nassari kuhusu ushahidi anaoutoa kuhusu wateule wa Rais kuwanunua madiwani Arusha, Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi, (CUF) Julius Mtatiro ameitaka taasisi hiyo kuchukua hatua na na siyo kumtishia mbunge huyo.

Mtatiro%2012.jpg

Mtatiro ametumia ukurasa wake wa Facebook, kwa kusema kwamba alitegemea TAKUKURU ingempongeza sana Nassari kwa kazi aliyofanya lakini kinyume chake wanamtisha na kumshtaki kwa kauli yake aliyoitoa jana kuwa ataendelea kutoa series ya matukio hayo yanayohusisha rushwa.

Mtatiro ameendelea kusema kwamba TAKUKURU ni chombo cha wananchi, siyo watawala na Nassari ni kiongozi na ni mwananchi, ana haki zote za kuikosoa na kuishinikiza taasisi ya kiuchunguzi ichukue hatua stahiki.

"TAKUKURU siyo mahakama na kwa kweli haina kinga dhidi ya "kulaumiwa na kushinikizwa na umma". TAKUKURU ijibu mashinikizo haya kwa kuchukua hatua, aidha kuwafikisha mahakamani wale watoa rushwa au kuwasafisha. Na iache kumtisha Nassari" ameandika Mtatiro

Aidha Mtatiro amehoji kwamba "Kwani Nassari akiendelea kutoa hizo video za ziada anafanya kosa gani kisheria. Kama ni kosa kwa nini wale watuhumiwa (watoa rushwa na wapokeaji) hawajampeleka mahakamani"?

Pamoja na hayo Mtatiro amesema kutokana na kauli za Mkurugenzi wa TAKUKURU haitabaki salama kwa kauli na mienendo ya namna hiyo ikiendelea kutolewa.
Baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, kutoa onyo kwa Mbunge Nassari kuhusu ushahidi anaoutoa kuhusu wateule wa Rais kuwanunua madiwani Arusha, Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi, (CUF) Julius Mtatiro ameitaka taasisi hiyo kuchukua hatua na na siyo kumtishia mbunge huyo.

Mtatiro%2012.jpg

Mtatiro ametumia ukurasa wake wa Facebook, kwa kusema kwamba alitegemea TAKUKURU ingempongeza sana Nassari kwa kazi aliyofanya lakini kinyume chake wanamtisha na kumshtaki kwa kauli yake aliyoitoa jana kuwa ataendelea kutoa series ya matukio hayo yanayohusisha rushwa.

Mtatiro ameendelea kusema kwamba TAKUKURU ni chombo cha wananchi, siyo watawala na Nassari ni kiongozi na ni mwananchi, ana haki zote za kuikosoa na kuishinikiza taasisi ya kiuchunguzi ichukue hatua stahiki.

"TAKUKURU siyo mahakama na kwa kweli haina kinga dhidi ya "kulaumiwa na kushinikizwa na umma". TAKUKURU ijibu mashinikizo haya kwa kuchukua hatua, aidha kuwafikisha mahakamani wale watoa rushwa au kuwasafisha. Na iache kumtisha Nassari" ameandika Mtatiro

Aidha Mtatiro amehoji kwamba "Kwani Nassari akiendelea kutoa hizo video za ziada anafanya kosa gani kisheria. Kama ni kosa kwa nini wale watuhumiwa (watoa rushwa na wapokeaji) hawajampeleka mahakamani"?

Pamoja na hayo Mtatiro amesema kutokana na kauli za Mkurugenzi wa TAKUKURU haitabaki salama kwa kauli na mienendo ya namna hiyo ikiendelea kutolewa.
Yule binti wa Kenya alisema "sipendi logic ya Watanzania," na mimi naungana nae,sipendi logic ya TAKUKURU,it is simply outrageous.
 
Kwa mtu mwenye akili ndogo hatamwelewa bosi wa TAKUKURU ila kwa wenye akili kubwa kama Mtatiro amemwelewa sana ndio maana kaongea alichoongea

Ukitumwa akili kubwa unafuata Mtatiro ambaye ilibidi akubali kuslimu ili apewe cheo?? Na kuozeshwa mke muislamu not for love bali for cheo? Kazi za uchunguzi ni taaluma sio mihemko ya kisiasa. Acheni ubwege wenu wa unyumbu na kushabikia kila kitu pasipo kufikiri.
 
Tz ya viwanda, mm huku sijaona hats kakiwanda kanakojengwa,, sijui nyinyi huko?
 
Nilifurahi pale waloposema wanapokea taarifa za vichaa wananchi wenye akili timamu na hata taarifa za mashetani wanapokea wako Vizuri sana
 
Mtatiro anakurupuka TAKUKURU haifanyi kazi kwa mitulinga.
Kama TAKUKURU ingekua inafanya kazi kama Mtatiro na bendera fuata upepo wa chadema wanavyotaka,basi mfalme Mbowe angekua matatani saa hizi kwa kuuza chama kwa Lowassa kwa bilioni tano

Peleka flash Kama nasar
 
Ni aibu kuvaa suti ya bei mbaya, viatu na accessory kibao vya bei chafu lakini umejinyea. !!!. Hivyo viwalo vyako havitaonekana bali watu wataona kinyesi tuuu
 
Takukuru hufanya kazi kwa wered na utaratibu sahihi kabiisa.....

Uhusisha usiri... hatua... uchunguz... uchambuzi n.k.

Kama walivyosema.

Hupokea taarifa toka kwa watu aina zoote... vichaa... watoto... wakubwa... wenye akili... wajanja na maboya.

We haujui uko kundi gan la watoa taarifa... ila sio kila utakachopeleka basi kiamuliwe tu.... kwa kuwa umesema....

Ingekuwa ivyo weeengi saaana wangekua jela now.

Any way jaribu kutofautisha...... kati ya taarifa na ushahid.

Tuachie wataalam wafanye kazi... sio siasa hii ya kuvaaana mitandaon
 
Natamani mzee wa hapa kazi tu ndiyo angekuwa mkurungenzi mkuu wa takukuru saa nyingi yule dc na wote waliowapa rushwa madiwani na hao madiwani wote wangeshafikishwa mahakamani na viboko vya kuingia jela walishachapwa
 
Eti Mtatiro amvaa Mkurugenzi Takukuru! Kumbe 'kamvaa ' kwny Facebook!
 
Back
Top Bottom