Kurunzi
Platinum Member
- Jul 31, 2009
- 10,175
- 11,572
Nimeona kwenye kituo cha tv cha mlimani Julius Mtatiro akihutubua mkutano wa hadhara igunga ni aibu hakuna watu kabisa zaidi ya watu ambao wanaonekana ni wapita njia hawakuwa na mpango wa na mkutano huku vijana wakionyesha vidole alama ya V inayotumiwa na chama cha CDM.