Mtatiro nimesoma nae Ifakara High school namtambua vema kama kilanja wa chakula alivyokuwa na roho mbaya, tukaenda nae UDSM namfahamu uwezo wake mdogo sana anaweza lopoka kama hapa ka-print kadi ya CDM hii inaonekana ni mpya kabisa yaani huyo mwanachama wa chadema alijiunga asubuhi... tena hata hakuikuja kadi jioni akairudisha CUF... shame on you Mtatiro, na nimemuona mdogo wako Malima CUF umempa shavu gani?
Naibu katibu mkuu wa CUF chama cha wanachi Mh.Julius Mtatiro,amebainisha kwamba nchi inakuwa na viongozi mafisadi wengi kwa kuwa wengi hawana nia ya kuongoza ili kumkomboa mtanzanaia bali kukomboa matumbo yao.
Mh. Mtatiro aliamua kuweka wazi kile alichokiweka moyoni kwa muda mrefu kwamba kabla ya kujiunga na chama chochote cha siasa alifuatwa na vyama vyote vikubwa vya siasa hapa nchini wakimsahawishi ajiunge kwenye vyama vyao,lakini alivutiwa sana na ilani/itikadi , sera ya CUF kama alivyo tanabaishawa na Prof.Lipumba (mwanyekiti wa CUF ) ambaye ambaye alifanya mazungumzo nae, amabaye Mtatiro ansema yeye alikuwa tofauti na viongozi wa vyama vingine ambao walimuahidi,nyumba,gari,fedha na vyeo.Hii haikuwa interest yangu mimi niliangalia chama gani chenye siasa za kweli na kinawatetea watanzania bila fix alieleza Mtatiro.
Naibu Katibu mkuu wa CUF mh.Mtatiro akihutumia wananchi Ndungumbi,Makanya,Kinondoni
Mtatiro pia ameonya tabia ya viongozi wa Chadema ya kununua viongozi wa CUF kwa fedha nyingi kama wanavyofanya CCM.Mtatiro alisema kwamba tabia hii ianjenga viongozi wachumia tumbo na wasio na nia ya dhati ya kuwatumikia wananchi ambao wengi wanakuwa mafisadi na wachumia matumbo.Prof.Lipumba aliniambia -karibu CUF, hili ndilo neno ninalolikumbuka kwa kweli yeye ndiye aliyekuwa kiongozi pekee wa chama cha siasa ambaye hakujinadi kwa kutumia fedha.Kiufupi mimi huwezi kuninunua kama inavyofanyika kwa wengine kwani najitambuaaliongeza mh.Mtatiro
Naibu katibu mkuu huyo wa CUF aliendelea kutanabisha kwamba wanaushahidi wa sauti wa namna viongozi hao wa Chadema walivyokuwa wakihangaika kuwarubuni viongozi wa CUF mikoa ya kusuni kwa kutumia ahadi za kuwapatia fedha pale watakapohama CUF na kuhamia Chadema wakati wa ziara yao ya mikoa ya kusini hivi karibuni.
Mh.Mtatiro alitanabaisha hayo juzi kwenye mkutano wa hadahara uliofanyika uliofanyika kata ya Ndugumbi Kinondoni ambapo kada muhimu wa CCM alihamia CUF na kushusaha bendera ya CCM kwenye tawi lake na kupandisha bendera ya CUF na kuunda tawi la CUF Mkombozi.
Mtatiro nimesoma nae Ifakara High school namtambua vema kama kilanja wa chakula alivyokuwa na roho mbaya, tukaenda nae UDSM namfahamu uwezo wake mdogo sana anaweza lopoka kama hapa ka-print kadi ya CDM hii inaonekana ni mpya kabisa yaani huyo mwanachama wa chadema alijiunga asubuhi... tena hata hakuikuja kadi jioni akairudisha CUF... shame on you Mtatiro, na nimemuona mdogo wako Malima CUF umempa shavu gani?
AKSANTE *Mh kumbe hata ninyi mlinunuliwa na CHAMA CHA MABWEPANDE sasa mbona unasema hununuliki wakati umo kwenye mtumbwi uliolipiwa?Angalia uLIkokwenda NDOANI UNGESEMA UNA ANGALIA NAMNA YA KUJINASUA HAPO TUNGE KUSIKILIZA NA KUKUSAIDIA.Naibu katibu mkuu wa CUF chama cha wanachi Mh.Julius Mtatiro,amebainisha kwamba nchi inakuwa na viongozi mafisadi wengi kwa kuwa wengi hawana nia ya kuongoza ili kumkomboa mtanzanaia bali kukomboa matumbo yao.
Mh. Mtatiro aliamua kuweka wazi kile alichokiweka moyoni kwa muda mrefu kwamba kabla ya kujiunga na chama chochote cha siasa alifuatwa na vyama vyote vikubwa vya siasa hapa nchini wakimsahawishi ajiunge kwenye vyama vyao,lakini alivutiwa sana na ilani/itikadi , sera ya CUF kama alivyo tanabaishawa na Prof.Lipumba (mwanyekiti wa CUF ) ambaye ambaye alifanya mazungumzo nae, amabaye Mtatiro ansema yeye alikuwa tofauti na viongozi wa vyama vingine ambao walimuahidi,nyumba,gari,fedha na vyeo.Hii haikuwa interest yangu mimi niliangalia chama gani chenye siasa za kweli na kinawatetea watanzania bila fix alieleza Mtatiro.
Naibu Katibu mkuu wa CUF mh.Mtatiro akihutumia wananchi Ndungumbi,Makanya,Kinondoni
Mtatiro pia ameonya tabia ya viongozi wa Chadema ya kununua viongozi wa CUF kwa fedha nyingi kama wanavyofanya CCM.Mtatiro alisema kwamba tabia hii ianjenga viongozi wachumia tumbo na wasio na nia ya dhati ya kuwatumikia wananchi ambao wengi wanakuwa mafisadi na wachumia matumbo.Prof.Lipumba aliniambia -karibu CUF, hili ndilo neno ninalolikumbuka kwa kweli yeye ndiye aliyekuwa kiongozi pekee wa chama cha siasa ambaye hakujinadi kwa kutumia fedha.Kiufupi mimi huwezi kuninunua kama inavyofanyika kwa wengine kwani najitambuaaliongeza mh.Mtatiro
Naibu katibu mkuu huyo wa CUF aliendelea kutanabisha kwamba wanaushahidi wa sauti wa namna viongozi hao wa Chadema walivyokuwa wakihangaika kuwarubuni viongozi wa CUF mikoa ya kusuni kwa kutumia ahadi za kuwapatia fedha pale watakapohama CUF na kuhamia Chadema wakati wa ziara yao ya mikoa ya kusini hivi karibuni.
Mh.Mtatiro alitanabaisha hayo juzi kwenye mkutano wa hadahara uliofanyika uliofanyika kata ya Ndugumbi Kinondoni ambapo kada muhimu wa CCM alihamia CUF na kushusaha bendera ya CCM kwenye tawi lake na kupandisha bendera ya CUF na kuunda tawi la CUF Mkombozi.
Alikurupuka CDM haiwezi kununua mtu kutoka CUF labda aamue kujiunga nayo kwa ridhaa yake mwenyewe, maana muungano wa chama hiki na magamba huko zenji kimeiua hapa bara, rejea hata matokeo ya uchaguzi mdogo wa Igunga CDM haikusimamisha mtu mara ya kwanza, lakini kwenye by-election moto wake ulionekana, na mpaka sasa unaendelea maana ushindi wa kufoji wa Kafumu ulitenguliwa na mahakama.
No comment inawezekana ukawa na evidence, ni nani waliyemnunua na kiasi gani? weka uthibitisho in law oral evidence is not conclusive inatakiwa kuwa corroborated na documentary evidence or other evidencekwa jinsi navyoijua cdm kutoa pesa kwa kununua viongozi si swala geni acha unafiki we unategemea kanda ya kusini cdm ikienda mikono mitupu nani atafika kukisikiliza na cdm haioni shida kumnunua kiongozi wa cuf iliaeneze cdm kusini bahati nzuri watu wa kusini waelewa hawana mpango na mafisadi wanyuma ya pazia