Mtashusha bei wenyewe tu!

Kunywen soda mlale sabab kupika/kula ugali sasa ni anasa
 
Hayaa! Kwa hiyo unasifia ujinga? Watu kuishi kimaskini unafurahi? Hivi ukiwa kiongozi maana yake uwaletee wananchi ufakiri? Hivi watu mkoje? Hivyo vichwa mmebeba nini? Aiseee! Ntakutukana!
 
Mwezako alisema hivyo kujiami baada ya uchumi kuanza kudolola ukitumia hekima utajua janja ya JPM janja ya nyani kula mahindi mbichi
 
Mngejua mia 200 kubwa na wanapata faida.wala msingeongea.
 
Ila jamaa wamepunguza sukari kwenye soda,ni kama unakunywa maji yenye gesi tu
 
Kwenye Unga, Sukari, Mchele na Mafuta government interference ni muhimu sana ie kama tamko la kuzuia mahindi kuuzwa nje. Pia serikali inabidi iruhusu tani kadhaa ya sukari ya nje maana viwanda vyetu vya ndani vimeshindwa kwenye supply.

Price fluctuation kwenye sukari ina overlap, leo 2500, kesho 2800, keshokutwa 2600. Serikali iliangalie hili kwa macho mawili ni maumivu kwa kweli kwa mtumiaji wa mwisho.
 
Nakumbuka tulitangaziwa bei ya sukari na sirikali! Huyo aliyetangaza sijui yeye huinunua sukari kwa sh. ngapi? Maana ni MKUU sana serikalini na bungeni!
 
unga umefika 1400 per kg kwa huku kwetu
 
bado bei yA unga wa mahindi na sukari kushukA.....
Bei za sukari na Mahindi kufika desemba unga utakuwa zaidi ya elfu tatu kwa kilo na sukari vitakuwa sawa au Unga unaweza kuzidi bei ya sukari mwezi huo. Hali ya chakula ni mbaya kuliko kuanzia mikoa ya Dodoma mpaka kanda ya ziwa yote, mpaka sasa sehemu hizo bei ya gunia la mahindi ni kati Tsh 90,000 mpaka 110,000/
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…