[emoji6][emoji6][emoji6]'mtalimia meno' (in magufuli's voice)
Ilishapandahizo haziwezi shuka zaidi bei itapanda maradufu
Vitu ambavyo sio muhim vitashuka lakin sukar na unga haviwezi kushuka.JPM alisema kuna watu watahama mji wenyewe naona hili kwa asilimia 45% linaanza kutekelezeka.
Airtel wameliona hilo wameamua walete vocha za mia mbili
Coca-cola mmeona mia ni kubwa sana kwa mtanzania mnyonge baada ya kuamua kufuta bei ya 600 kwa soda mpaka 500
SWALI;Biashara ni mbaya au mnapunguza bei kurahisisha maisha ya mtanzania mnyonge.
mbona vyakula muhimu kwa wanyonge havishuki bei(unga na sukari)
@1998
Bei zitashuka tu hakuna jinsi mkuu.