................ Mtarajiwa ....................

...lazima wanaagenda ya siri na jk,sio bure kujidhalilisha kwa namna hii,maana hata huko UN uswaiba wa jk na moon ndo uliompa shavu huyu mama...

Better Resign Now (BRN)
 
Naona series ya "tuwanyonye waTZ inaendelea" hapa wanashoot next episod
 
Siasa za Kiafrika ni utumwa, CCM wanajaribu kutembelea nyota ya huyo mama kuzikamata fikra za watumwa wao.

Can't imagine eti Ban Ki Moon baada ya muda wake akafanye upuuzi kama huu Korea! Huyu mama anajidhalilisha sana, UN Deputy Secretary General ni mtu mkubwa sana duniani..this is too low for her japo keshajiuzulu UN.
 
Naungana na wewe mkuu halafu toka kametoka UN kamechakaa balaaa, huyu mama kuna kitu kinamtafuna sio bure.
 
Yan huyu ashindane na lowasa?? Mhh namuonea huruma arudi kufundisha haziwezi siasa za bongoo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…