Mtanzania : Unashabikiaje chama ambacho hakina sera?

Mtanzania : Unashabikiaje chama ambacho hakina sera?

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,819
Reaction score
1,458
Kwanini hatujifunzi kuhoji sera za vyama kwanza kabla ya kujiunga navyo? Na hii ndiyo inadhibitisha kuwa baadhi ya watu ni bendera fata upepo.

Wana fata mtu badala ya chama kitu kinachodhibitisha kuwa watu hao hawajui siasa bali kunawatu wanaorukia rukia siasa na kujifanya wanasiasa.
 
Ni vijana wengi wanatabia iyo na ndomana hadithi za fulani kahamia chama fulan zinasikika kila siku.mfano ujio wa hiki chama cha zitto ( Act) ambacho kinaonekana kuchukua wafuasi kutoka upinzani tu hasa CHADEMA jiulize kwanini? jibu ni kuendekeza njaa na usaliti ulio kidhiri Asanteni.
 
mfano chadema hawana sera yoyote zaidi ya vurugu na maandamano
 
Kwanini hatujifunzi kuhoji sera za vyama kwanza kabla ya kujiunga navyo? Na hii ndiyo inadhibitisha kuwa baadhi ya watu ni bendera fata upepo. Wana fata mtu badala ya chama kitu kinachodhibitisha kuwa watu hao hawajui siasa bali kunawatu wanaorukia rukia siasa na kujifanya wanasiasa.
Chadema mtajnyea mwaka huu mana mnatapatapa kwelikweli. Poleni sana!
 
kuna chama sera zao n kuuana mara huyu kataka kumuua yule yan ivo yote hiyo kisikike tu badala ya kusikika kwa kujenga hoja
 
Kwanini hatujifunzi kuhoji sera za vyama kwanza kabla ya kujiunga navyo? Na hii ndiyo inadhibitisha kuwa baadhi ya watu ni bendera fata upepo.

Wana fata mtu badala ya chama kitu kinachodhibitisha kuwa watu hao hawajui siasa bali kunawatu wanaorukia rukia siasa na kujifanya wanasiasa.

Mbona una rap na kubwata bila kufunguka, chama kipi hakina sera?
 
Hilo hapo tawi la lumumba

Haya maneno yalisemwa wakati wa nccr baadae cuf lakini hawa kwa sasa ni washikadau wenu. It is useless defending your failures by linking your competitors with ruling party. Wake up guys stop nonsense
 
kabxa mkuu hilo lipo waz n chama ambacho hakina sera bal hutegemea huruma ya wananchi

sera nyingine ya chadema ni kutembea na sumu ya kulisha wanaopingana mawazo na mwenyekiti
 
Kwanini hatujifunzi kuhoji sera za vyama kwanza kabla ya kujiunga navyo? Na hii ndiyo inadhibitisha kuwa baadhi ya watu ni bendera fata upepo.

Wana fata mtu badala ya chama kitu kinachodhibitisha kuwa watu hao hawajui siasa bali kunawatu wanaorukia rukia siasa na kujifanya wanasiasa.

Kufuata chama badala ya watu ni kitu gani? Kumbuka hakuna chama bila watu. Unataka tukuulize maswali ya kati ya kuku na yai kilianza nini? Kati ya chama na watu kilianza nini? Watu wanakutana wanakubaliana kuanzisha chama wanatengeza sera,sheria na kanuni. Wanapelaka kwa wanapelaka kwa wananchi, wananchi tunawapima hawa waliotuletea sera hizi wanao uwezo wa kuzitelekeleza?Tukiridhika tunawaunga mkono.

Wananchi tumelidhika na sera za act wazalendo, kwa sababu zitasimamiwa na mzalendo ambaye uzalendo wake haujawahi kutiliwa shaka kiongozi mkuu ZITO ZUBERI KABWE.
 
Kwanini hatujifunzi kuhoji sera za vyama kwanza kabla ya kujiunga navyo? Na hii ndiyo inadhibitisha kuwa baadhi ya watu ni bendera fata upepo.

Wana fata mtu badala ya chama kitu kinachodhibitisha kuwa watu hao hawajui siasa bali kunawatu wanaorukia rukia siasa na kujifanya wanasiasa.

mkuki kwa nguruwe kwa binaadam mchungu.hizi kauli za jamani tuchague chama na siyo mtu nikauli ambazo anazotoa huwa yamemfika ya kumfika.

nikukumbushe mwaka 2000 mbowe alikuwa anasema jamani wananchi nawaombeni chagueni mtu msiangalie chama.kaui hii alitoa kwasababu kipindi kile ccm hata wakimsimamisha mgombea asiye faa watu walikuwa wanamchagua kwasababu walikuwa wanakilinda chama chao cha ccm.

leo hii zito kafukuzwa cdm.watu wanamfuata huko alikoenda kwasababu yeye misimamo yake kuna watu wanaipenda.
cdm hizo kauli zenu sisi hasi leo tunazizingatia kuwa tusichague chama tuchague mtu.tumemchagua zito ata akienda chama chochote kile ACT pamoja tutalijenga taifa letu
 
mfano chadema hawana sera yoyote zaidi ya vurugu na maandamano

kweli kaka sera ni ufisadi ufisadi ufisadi ufisadi ufisadi hufisadi ufisadi tu.kulalamika na kutaka huruma tu,wezi wenyewe ni ndugu zao wamejaa kibao kuanzia TRA BANDARI MABENKI mpaka HAZINA.
 
Back
Top Bottom