Mtanzania umetisha kwa hili

Mtanzania umetisha kwa hili

yampwai

Member
Joined
May 16, 2013
Posts
27
Reaction score
6
Mtz,mkenya na mganda walikamatwa na bangi china.wajapewa adhabu ya kwenda msituni na kurudi na matunda kumi.mganda akarudi na ma-apple akaambiwa ameze mojamoja bila kutikisika....la kwanza tu akafumba macho,wakamuua.mkenya akarudi na mazambarau,akawa anameza moja moja hadi la tisa akaangua kicheko akapigwa risasi.wakiwa kuzimu mganda akamuuliza mkenya,mbona ulicheka wakati karibu unamaliza?mkenya akajibu..nlimwona mtanzania anakuja na matikiti maji,.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom