Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 264
Katika pita zangu kwenye facebook, nilikutana na mkaka anayejiita Thomas David Richardson Bonifas . Nikajiuliza hivi huyu ni mzungu au mbongo, picha na kila kitu ni mweusi tena msoni wa UDSM. Basi hapa ndo nikapata picha kamili Watanzania walivyowatumwa wa kimawazo. Hata wale wanaoitwa taswira ya jamii ndo wale wale watumwa. Kwa nini mtu ajiite majina kama hayo? Sijawahi kusikia wanasiasa wa ulaya na hata wana miziga wakitumia majina ya wengine, ila Bongo Balaa
Kuna wengine wanajiita. Mark Anthony, J-Lo, Kim Kardashian (shangingi la mujini) Amber Rose (Shangingi lingine) Kimora Lee, Tayra Banks, Lady Gaga etc.. Hivi kweli mnajua maana ya haya majina? Kwa nini msitumie majina yenu mkayakuza na kuwa kama wao kuliko kuiga? Kama mmechoka na uafrika basi nendeni ulaya mkajiita hayo majina muone mtakavyojidhailisha.
Jamani tuacheni ujinga. Mnaweza kushtakiwa kwa haya ma ujinga yenu. siku hizi mambo ya identity theft itawafuateni hadi bongo, oho, shauri yenu. Mbona msitumie majina asilia kama Mange Kimambi, au Mwamvita Makamba ambayo ni majina mazuri ya kiafrika inayovutia kuliko kujiweka kuwa vituko?
Fake Kimora Lee
Real Kimora Lee
Fake Kim Kardashian
Real Kim Kardashian
Fake Amber Rose
Real Amber Rose
Lady Gaga bandia
Lady gaga wa ukweli
kiendelea kutumia majina ya watu mtashtakiwa, kwani hayo majina yamekuwa na haki miliki.