Mtanzania halisi!!

Mtanzania halisi!!

Babu Lao

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
2,042
Reaction score
180
Kama ukibahatika kujua mawazo wa mtanzania halisi :A S 13:!!
 
Attachments

  • Mtanzania halisi.jpg
    Mtanzania halisi.jpg
    12.3 KB · Views: 204
Hizo ndizo akili za mTanzania, anangoja aletewe atiliwe mfukoni halafu aambiwe "haya nenda katumbuwe".

Wengi wenye fikra hizo hawafanikiwi ki maisha. si Tanzania tu, popote pale duniani. Jitume, Tanzania kuna opportunities kibao ambazo zipo untapped, lakini haziwezi kuja kwa kuzisubiria, inabidi uzifanyie kazi.
 
wape vidnge vyao.
 
Back
Top Bottom