Kwa taarifa yako huyo askofu gerlad mpango, mliyemvumisha kuwa ni mwana mageuzi na amesaidia kuijenga chadema ni uzushi na uwongo wa hali ya juu, kwani askofu mstaafu mpango ni mwana c.c.m na 2010 aligombea kura za maoni jimbo la kasulu mjini akatupwa nafasi ya tatu.
Baada ya hapo akata kulejea kanisani,kanisa likakataa.
Nimeshasema kutokana na shughuli zangu za kiofisi mwezi huu nitakuwa kigoma hivyo kutokana na kuufahamu vizuri mkoa huu naomba waandishi wa mtanzania na magazeti mengine msiwe wapotoshaji, huku zito hapendwi kama mnavyosema. Kwani wengi wamezidi kukikubalio chama kutokana na maamuzi magumu yaliyochukuliwa dhidi hao vijana walio saliti chama.
Je, zitto kwanini juzi hakufika kibondo,kakonko,buhigwe na kasulu vijijini? Angefika kibondo ndio angejua nini manaana ya wha wahambwe!
Ikosikiku hawa waandishi wa magazeti yenye mlengo wa c.c.m watakuja kukiri kuwa chadema ni chama imara na bora kuliko vyote nchini.