barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,865
Hatimaye Mtanzania mwenzetu Emanuel Ganiki Gisamoda,jana alitutoa kimasomaso ktk mbio za Nyika za "KUNMING PLATEAU HALF MARATHON" huko nchini China.
Gisamoda alitumia muda wa saa 1:04:02 akiwaacha wenzake Kiptoo Kibet toka KENYA na Tsegaye Tadese toka ETHIOPIA.
Pongezi kwa ndugu yetu Gisamoda kwa kututoa "tongotongo" baada ya kimya cha muda mrefu katika medani ya wakimbiza upepo.
Tunakumbuka enzi za F.Bayi na kina Nkangaa, tuombe uwekezaji mkubwa ktk michezo ili tupate furs ya kuitangaza nchi.

Chanzo: Gidabuday BlogEmanuel Gisamoda Giniki from Tanzania won the men's title at Kunming Plateau Half Marathon with a time of 1 hour 4 minutes and 2 seconds while Rebecca Chesir from Kenya won the women's championship.
Kunming Plateau Half Marathon is increasingly becoming popular across China with tens of thousands of people practicing and joining the event every year.
China is also home to dozens of other International Marathons including the ones in Beijing, Xiamen and Shanghai.