Mtanzania akamatwa kwa madawa ya kulevya thamani ya shilingi 7.8 bilioni

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
29,869
Reaction score
34,025
15 Julai 2025
273 Voortrekker Road, Goodwood, Cape Town, Western Cape, South Africa

Mtanzania umri miaka 32, akamatwa na madawa ya kulevya thamani ya shilingi 7.8 bilioni

Msako huo siku ya jumapili tarehe 13 Julai 2025 kufuatia taarifa za kiintelejensia alisema kiongozi wa operesheni Lieutenant Colonel Malcolm Pojie kuhusu msako huo uliowatia mbaroni raia mmoja wa kitanzania na mwenzie wa,...

Lieutenant Colonel Malcolm Pojie alisema lengo lao kwa taarifa za awali ni kwamba waliokamatwa walikuwa wauzaji wadogo lakini wakiwa eneo wakifungua makabati ndipo wakapata taarifa za ziada za kiintelejensia wakatanua ukaguzi wao hadi darini na kukumbana na zaidi ya kilogram 140 za madawa ...

Thamani ya madawa yaliyokutwa darini na sehemu nyingine katika makazi ya nyumba hiyo moja ni randi 54.4 milioni sawa na shilingi zaidi ya bilioni 7.8..

Watuhumiwa wanatarajiwa kufikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Mkuu ya Goodwood Magistrates’ ya nchini Africa ya Kusini
==================

Some of the drugs were found hidden in the roof of the raided house.​

Goodwood R54.3million drug bust

Goodwood drug bust. Picture: Saps

Two foreign nationals are facing drug trafficking charges following a major intelligence-led operation in Goodwood that resulted in the seizure of narcotics worth R54.3 million on Sunday afternoon.
Members of Operation Restore executed a search warrant at a residence on Molteno Street at approximately 13:45 on Sunday,13 July 2025, leading to the discovery of substantial quantities of heroin and crystal methamphetamine, also known as Tik, hidden throughout the property.

Initial drug discovery leads to arrests​

The operation began when officers searched the premises and made their first significant find in a bedroom cupboard.
“During the search, the members discovered and seized 6kg of heroin, which was found in a cupboard in one of the rooms,” said Police spokesperson Lieutenant Colonel Malcolm Pojie.
Pojie said the occupant of the room, a 32-year-old Tanzanian national, was immediately arrested and charged with dealing in heroin ...
Source : Tanzanian and Burundian nationals arrested in R54.3m drug bust in South Africa | The Citizen
 
15 Julai 2025

Mtanzania akamatwa kwa madawa ya kulevya thamani ya shilingi 7.8 bilioni

Msako huo siku ya jumapili tarehe 13 Julai 2025 kufuatia taarifa za kiintelejensia alisema kiongozi wa operesheni Lieutenant Colonel Malcolm Pojie kuhusu msako huo uliowatia mbaroni raia mmoja wa kitanzania na mwenzie wa,...

Thamani ya madawa yaliyokutwa darini na sehemu nyingine katika makazi ya nyumba hiyo moja ni randi 54.4 milioni sawa na shilingi zaidi ya bilioni 7.8

Naomba asiwe na jina la kigalatia. Yani sijui tutaficha wapi sura zetu?

hydroxo adriz Mufti kuku The Infinity
 
15 Julai 2025

Mtanzania umri miaka 32, akamatwa na madawa ya kulevya thamani ya shilingi 7.8 bilioni

Msako huo siku ya jumapili tarehe 13 Julai 2025 kufuatia taarifa za kiintelejensia alisema kiongozi wa operesheni Lieutenant Colonel Malcolm Pojie kuhusu msako huo uliowatia mbaroni raia mmoja wa kitanzania na mwenzie wa,...

Lieutenant Colonel Malcolm Pojie alisema lengo lao kwa taarifa za awali ni kwamba waliokamatwa walikuwa wauzaji wadogo lakini wakiwa eneo wakifungua makabati ndipo wakapata taarifa za ziada za kiintelejensia wakatanua ukaguzi wao hadi darini na kukumbana na zaidi ya kilogram 140 za madawa ...

Thamani ya madawa yaliyokutwa darini na sehemu nyingine katika makazi ya nyumba hiyo moja ni randi 54.4 milioni sawa na shilingi zaidi ya bilioni 7.8
==================

Some of the drugs were found hidden in the roof of the raided house.​

Goodwood R54.3million drug bust

Goodwood drug bust. Picture: Saps

Two foreign nationals are facing drug trafficking charges following a major intelligence-led operation in Goodwood that resulted in the seizure of narcotics worth R54.3 million on Sunday afternoon.
Members of Operation Restore executed a search warrant at a residence on Molteno Street at approximately 13:45 on Sunday,13 July 2025, leading to the discovery of substantial quantities of heroin and crystal methamphetamine, also known as Tik, hidden throughout the property.

Initial drug discovery leads to arrests​

The operation began when officers searched the premises and made their first significant find in a bedroom cupboard.
“During the search, the members discovered and seized 6kg of heroin, which was found in a cupboard in one of the rooms,” said Police spokesperson Lieutenant Colonel Malcolm Pojie.
Pojie said the occupant of the room, a 32-year-old Tanzanian national, was immediately arrested and charged with dealing in heroin ...
Source : Tanzanian and Burundian nationals arrested in R54.3m drug bust in South Africa | The Citizen
Chochote unachoona ukifanya kitakuingizia pesa we fanya tu, Mungu hana agano na umasikini aise.
 
Back
Top Bottom