Mtanzania aibuka kidedea elimu ya juu ya sekondari nchini Namibia

sundoka

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2011
Posts
2,067
Reaction score
2,771
Mwanafunzi mtanzania Felister Rushubiza, ameibuka kidedea kwa kuongoza kitaifa katika matokeo ya kumaliza elimu ya juu ya sekondari yaani 2018 Grade 12 Ordinary Level Top Ten, yaliyotolewa nchini humo juzi.

Felister (18) ni mtoto wa pili, kati ya watoto wanne wa familia ya Joseph Rushubiza inayoishi nchini humo kwa takribani miaka 20 sasa. Felister amepata matokeo hayo baada ya kuhitimu elimu ya darasa la 12 katika shule ya sekondari ya st. Boniface College.

Kwa tararibu za kielimu nchini Namibia, mwanafunzi huanza darasa la kwanza hadi la saba kwa elimu ya msingi na baadae husoma darasa la 8 hadi la 10 elimu ya sekondari. Kisha humalizia darasa la 11 na la 12 kwa mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari. .......

Kwa upande wake baba mzazi wa Felister, Joseph Rushubiza alisema anafurahishwa na matokeo hayo. Alisema ingawa alitarajia mtoto wake kufanya vizuri, hakutarajia kama angeweza kufanya vizuri kiasi cha kuwa MWANAFUNZI WA KWANZA KITAIFA.

Source: Gazeti la Habari Leo la leo tar 14/01/2019

HONGERENI WATANZANIA
IMG_20190114_201652_5_1547486264443.jpeg
IMG_20190114_201703_5_1547486280834.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HONGERENI WATANZANIAView attachment 994352View attachment 994353

Sent using Jamii Forums mobile app
Nshomile hao,,,,,,HAYA: The most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya - JamiiForums
 
Mwanafunzi mtanzania Felister Rushubiza, ameibuka kidedea kwa kuongoza kitaifa katika matokeo ya kumaliza elimu ya juu ya sekondari yaani 2018 Grade 12 Ordinary Level Top Ten, yaliyotolewa nchini humo juzi.

Felister (18) ni mtoto wa pili, kati ya watoto wanne wa familia ya Joseph Rushubiza inayoishi nchini humo kwa takribani miaka 20 sasa. Felister amepata matokeo hayo baada ya kuhitimu elimu ya darasa la 12 katika shule ya sekondari ya st. Boniface College.

Kwa tararibu za kielimu nchini Namibia, mwanafunzi huanza darasa la kwanza hadi la saba kwa elimu ya msingi na baadae husoma darasa la 8 hadi la 10 elimu ya sekondari. Kisha humalizia darasa la 11 na la 12 kwa mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari. .......

Kwa upande wake baba mzazi wa Felister, Joseph Rushubiza alisema anafurahishwa na matokeo hayo. Alisema ingawa alitarajia mtoto wake kufanya vizuri, hakutarajia kama angeweza kufanya vizuri kiasi cha kuwa MWANAFUNZI WA KWANZA KITAIFA.

Source: Gazeti la Habari Leo la leo tar 14/01/2019

HONGERENI WATANZANIAView attachment 994352View attachment 994353

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuna ulazima wa kutaja kabila lake?

Kulkua na haja gani kuandka kabla lake kama utambulisho wake? Kwa nn usingeandka "mtanzania aibuka kidedea mtian wa taifa Namibia" maana imenichosha hata sijaisoma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana unahusudu sana ukabila.Ni bora usingesema mtanzania,ungesema tu mhaya
 
Nisameheni niliowakwaza. Ila sioni sababu ya mtu kuficha identity ya mtu aliyefanya jambo zuri!

Mbona mmefurahia na mngependa isomeke Mtanzania ameongoza? Mnadhani nchi nyingine wakiuliza "Kwani lazima useme Mtanzania? Kwa nini usiseme tu mwafrika au muafrika Mashariki?

All in all tusameheane na mnajua heading hairekebishiki.

Kwa wachaga msinisamehe kabisa. Mnavuna mlichokipanda kwa kulazimisha ligi za kijinga. Wengine nisameheni sana watz wenzangu[emoji120][emoji120][emoji120]

Umefanya kosa gani?
 
Kumbe habari umeileta special league na wachaga!!!
mmeanza, wachaga wako safi sana.yule binti wa marian TO yuko microsoft Canada/ USA?????? ameajiliwa kwa kutafutwa na si kuomba kazi!
 
Back
Top Bottom