Mtanzania afungwa miaka 30 Mauritius kwa kusafirisha dawa za kulevya.

Richard

JF-Expert Member
Oct 23, 2006
15,215
21,392

02/07/2008

Port-Louis, Mauritius - The criminal Court in Port-Louis on Wednesday sentenced Tanzanian national Juma Maulid Mohamedi to 30 years in prison for drug trafficking, PANA reported.

Mohamedi was arrested by the police on 29 June 2004 in à Quatre-Bornes, a city located 25kms south of the Mauritian capital, Port Louis, with two bags containing 178 grammes of heroine.

His South African accomplice, Hamza Ndwandwe, was sentenced to a fine of 100,000 rupees (about US$3,700).

Source: PANA.
 
Na bado wale mabondia waliokamatwa juzi! Vijana tafuteni ajira halali.
 
Lakini cha ajabu jamaa amekaa jela kwa miaka minne ndio anakuja kufungwa leo.

Mauritius ni wakali sana kuhusu haya madubwana na ukikamatwa ni jela kwanza bila kwenda mahakamani halafu baadae ndio unapelekwa mahakamani na jela.

Kwa hiyo jumla ni miaka 34!
 
...duh, jamaa wana njia nyingi! mara ya mwisho nilisikia wanapitia msumbiji, kabla ya hapo malawi, enzi zile Kenya... sasa Mauritius!!!...

'mzigo' wa wapi huo lakini? mambo ya Brazil au Iran na Pakistan?
 
02/07/2008

Port-Louis, Mauritius - The criminal Court in Port-Louis on Wednesday sentenced Tanzanian national Juma Maulid Mohamedi to 30 years in prison for drug trafficking, PANA reported.

Mohamedi was arrested by the police on 29 June 2004 in à Quatre-Bornes, a city located 25kms south of the Mauritian capital, Port Louis, with two bags containing 178 grammes of heroine.

His South African accomplice, Hamza Ndwandwe, was sentenced to a fine of 100,000 rupees (about US$3,700).

Source: PANA.
Huyu ndio mmoja kati ya wale waliokuwa na wale mabondia?
 
Kuna watanzania wengi sana kwenye magereza ya nchi za nje.

Yaani jamaa alikaa ndani tangu mwak 2004, halafu leo anahukumiwa miaka 30 jela. Jumla itakuwa miaka 34; sijui atakuwa na umri gani wakti huo.
 
Back
Top Bottom