Mtanzania afungwa miaka 30 Kenya kwa kusafirisha madawa

miss zomboko

miss zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Messages
2,016
Points
2,000
miss zomboko

miss zomboko

JF-Expert Member
Joined May 18, 2014
2,016 2,000
Mahakama ya Mombasa, Kenya imemhukumu Mtanzania Hussein Idd kifungo cha miaka 30 jela na kulipa faini ya Sh milioni 90 za Kenya (zaidi ya shilingi bilioni 2 za Tanzania) kwa kukutwa na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya.

Hakimu Mkazi Mwandamizi Edgar Kagoni amemhukumu Mtanzania huyo aliyekutwa na hatia ya kukutwa na kilo 10 za heroine Machi mwaka jana kwenye hoteli ya Regency, Mombasa.

Hakimu Kagoni amesema, endapo Idd atashindwa kulipa shilingi milioni 90 za Kenya ataongezwa miaka mitano mingine jela.

Julai mwaka jana, mahakama hiyo ilimhukumu Mtanzania mwingine, Harun Bakari Juya kifungo cha miaka 20 jela na kulipa faini ya shilingi milioni 26.6 za Kenya (zaidi ya sh milioni 603 za Tanzania).

Ilidaiwa mahakamani hapo kuwa, Juya alikamatwa alipofika Lungalunga Kenya akitoka Tanzania akiwa na kilo 2.975 za dawa za kulevya aina ya heroine zanye thamani ya sh milioni 8.9 za Kenya.
 
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Messages
16,767
Points
2,000
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2015
16,767 2,000

Mambo Kama haya ndio utasikia kitengo Cha passport wanasema ohhh tukupe ukienda kuuza madawa huko itakuweje.Wewe mpe mtu passport huko nchi za watu pia Kuna serikali,vyombo vya dola,mahakamani na jela.Muwaamini na nchi zingine pia.Si unaona huyo kadakwa sababu kule nako Kuna mifumo ya kushughulika wahalifu.Msiogope kumpa kila mtanzania passport kisa maruhuni wachache Kama huyu aliyedakwa Kenya.Huyu Ni tone Katika bahari ya watanzania wema milioni hamsini.Uhamiaji woga wa kutoa passport ondoeni.Hongereni Kenya kumdaka na kumpa hukumu.inayomstahili haaibishi watanzania anajiaibisha mwenyewe kila mtu abebe mzigo wake
 
soul provider

soul provider

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2014
Messages
1,154
Points
2,000
soul provider

soul provider

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2014
1,154 2,000
nyundo 30 si mchezo, bora niendelee kuuza mapapai..
 
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
4,132
Points
2,000
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
4,132 2,000
Hawa vijana wa Mnyaaazi wanapenda sana dawa. Sana sana hawa wenye Uarabu wa Zbar na pwani kwa ujumla
Kuna vijana wa baba na mama Na mwana wanapenda Sana kufurwa mpaka wanaoana kabisa Dah hatareee
 
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
4,132
Points
2,000
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
4,132 2,000
Niendelee kumpongeza makonda kwa Kaanzisha Harakati hizi ukanda huu
Hongera sana pia Kenya kwa kua macho nina Hakika tukishirikiana tutamaliza tatizo hili
 
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
4,132
Points
2,000
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
4,132 2,000
Umeshindwa kabisaa kuuficha UKAFIRI wako?
anawashwawashwa huyo hao si kawaida yao kufurwa Na vyeti vya ndoa wanapewa? kwa hiyo Usishangae sana
 
HFOOO

HFOOO

Senior Member
Joined
Aug 6, 2018
Messages
189
Points
225
HFOOO

HFOOO

Senior Member
Joined Aug 6, 2018
189 225
Hadi nimelegea maana Jina hili linatoka kufanana jina la rafiki yangu mmoja tumekuwa pamoja na tumesoma pamoja alibahatika kupata diploma ya ualimu kwa masomo ya fizikia hesabu na kemia na tayari alingia Kwenye Ajira shule moja pale Arusha lakin mda mwingi sana root zake alikuwa anaenda sana Kenya na sikujua ni biashara gani anafanya lakin pia alikuja kupotea ghafla mpaka leo na ndio nasikia hili Jina nimetetemeka had maini. NAJUA JF HUWA HAMTUANGUSHI KWELI HATUWEZI KUPATA HATA PICHA YAKE.
 
Ngoda95

Ngoda95

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Messages
2,408
Points
2,000
Ngoda95

Ngoda95

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2011
2,408 2,000
Mambo Kama haya ndio utasikia kitengo Cha passport wanasema ohhh tukupe ukienda kuuza madawa huko itakuweje.Wewe mpe mtu passport huko nchi za watu pia Kuna serikali,vyombo vya dola,mahakamani na jela.Muwaamini na nchi zingine pia.Si unaona huyo kadakwa sababu kule nako Kuna mifumo ya kushughulika wahalifu.Msiogope kumpa kila mtanzania passport kisa maruhuni wachache Kama huyu aliyedakwa Kenya.Huyu Ni tone Katika bahari ya watanzania wema milioni hamsini.Uhamiaji woga wa kutoa passport ondoeni.Hongereni Kenya kumdaka na kumpa hukumu.inayomstahili haaibishi watanzania anajiaibisha mwenyewe kila mtu abebe mzigo wake
Mkuu huko Lumumba wameshindwa kabisa kukutafutia hapo hata invitation letter ili iwe rahisi kwako kuomba passport? Mana Hilo povu kwa uhamiaji sio mchezo.
 
M

mwemweremwemwere

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2016
Messages
278
Points
250
M

mwemweremwemwere

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2016
278 250
Wenzetu Kesi ina mwaka mmoja tayari mtu ameshahukumiwa, pale Keko kuna mtu anaitwa EDWINI MONYO alikamatwa na madawa ya kulevya airport tena alikamatwa na Mwakyembe kipindi kile waziri sijui wanini Mwaka 2011 nadhani, mpaka Leo hajapata hukumu upelelezi bado, kina Chonji hadi Leo upelelezi bado tangu mwaka 2013, maajabu kwakweli lol,

Ivyo vielelezo si mwishoe vinapotea, na mashahidi wengine wanakufa pia kufukuzwa kazi au kustaafu, mwingine ana miaka tisa mpk Leo upelelezi haujakamilika yupo Jela , nadhani idara yetu Ya upelelezi ikajifunze kenya sasa
Mkuu unataka waende mpelampela kwa maslahi yanani?
 
Shunie

Shunie

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Messages
113,864
Points
2,000
Shunie

Shunie

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2016
113,864 2,000
Wenzetu Kesi ina mwaka mmoja tayari mtu ameshahukumiwa, pale Keko kuna mtu anaitwa EDWINI MONYO alikamatwa na madawa ya kulevya airport tena alikamatwa na Mwakyembe kipindi kile waziri sijui wanini Mwaka 2011 nadhani, mpaka Leo hajapata hukumu upelelezi bado, kina Chonji hadi Leo upelelezi bado tangu mwaka 2013, maajabu kwakweli lol,

Ivyo vielelezo si mwishoe vinapotea, na mashahidi wengine wanakufa pia kufukuzwa kazi au kustaafu, mwingine ana miaka tisa mpk Leo upelelezi haujakamilika yupo Jela , nadhani idara yetu Ya upelelezi ikajifunze kenya sasa
Aiseeee Edwin kumbe yupo toka 2011
 
Forum statistics

Threads 1,314,658
Members 505,013
Posts 31,834,599
Top