Mtanzania afungwa miaka 30 Kenya kwa kusafirisha madawa

Mkuu huko Lumumba wameshindwa kabisa kukutafutia hapo hata invitation letter ili iwe rahisi kwako kuomba passport? Mana Hilo povu kwa uhamiaji sio mchezo.
Mimi ninayo passport mkuu nimekumbana na hii changamoto nilienda CRDB Dar es salaam yupale karibu na British council nikakuta vijana wako confused kuna ile mitihani ya kiingereza ya kimataifa ambayo nchi kama sio English speaking country unatakiwa kufanya ili upate scholarship nchi za Ulaya na Canada ambako ziko bwerere.Sasa kuna fomu ya kujaza online kufanya hiyo mitihani ambapo kuna sehemu lazima ujaze passport details Nikakuta vijana saba waswahili wanailia wakasema hawana passport hivyo hawawezi fanya hiyo mitihani wakasema wameenda uhamiaji kuomba passport wakaambiwa wapeleke barua ya mwaliko na hawana.Kwenda British Council tena wao British council wakasema Kila kitu kinafanyika online wao hawakusikii na lolote watimize tu hayo masharti yaliyoko kwenye online form.Niseme wazi walichoongea waziri wa mambo ya ndani akisikie na Raisi akisikie wanaofanya hiyo mitihani ni watoto wa wahindi tu asilimia 99.Sababu passport wanazo kujaza fomu wanateleza tu.Na wanaofaidi scholarship nyingi nchi hii ni wahindi.Hiyo mitihani ya British council hufanyika nchini nenda kaangalie siku inafanyika ni wahindi watupu ndio kufurika .Wengi wakimaliza form six huomba scholarships nje ya nchi ndio maana huwaoni kwenye vyuo vyetu iwe UDSM au popote .Wakishafanya hiyo mitihani wanaomba scholarship ulaya Marekani na Canada hao wanatimua inaandikwa kwenye vyuo kuwa mfano tulitoa scholarships 100 kwa Tanzania kumbe wote wahindi watupu.Ndio maana Niko so bitter kutetea wale vijana.Barua za mwaliko zinaumiza watu.Wanaoifaidi Tanzania kwa scholarships ni wahindi.Hilo sharti la barua ya mwaliko ni pepo linalozuia watanzania kusonga mbele na ndio linafuga kuendelea kuwa na gap kubwa kati ya wahindi na waswahili kwenye scholarships.
 
I feel you....
 
Wa kuoana wanaume kwa wanaume wameshangilia haoo na Hayo majina! Dah kweli roho mbaya haikuwahi kumwacha mtu salama
 
Back
Top Bottom