Mtanzania afariki Hongkong | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtanzania afariki Hongkong

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Sep 4, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Mtanzania mwenetu amefariki huko hongkong jamani wenye mapenzi mema wa china na karibu saidieni
  jama a aje kupumzishwa kwenye nyumba ya milele
   
 2. Kijuche

  Kijuche JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Dah! ngoja tuwasubiri wapo njiani wanakuja.
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  Anaitwa nani? Pesa tutume kwa nani? Na kwa njia ipi? TIGO PESA
   
 4. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2011
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  Pesa tutume wap? Tutajuaje kama pesa zitakuwa mikono salama,jaribu kufatilia ubaloz wa tz beijing,ili tujue namna ya kumsafirisha
   
 5. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Unaposema mtanzania tunataka na diteilz mf. Mwanaume,mwanamke,mtoto,mkubwa, au alikuwa anaumwa? Au ghafla hebu tupe taarifa zilizoshiba
   
 6. Mvuni

  Mvuni JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mtoa taarifa, hebu jaribu kuniweka wazi zaidi.

  Mimi niko Hong Kong, naomba kupata taarifa hiyo kamili ili niweze fika mahari ulipo msiba kwaajili ya kutoa msaada uwezekanao. Details za: Nani, jinsia gani, anaishi wapi, ikiwezekana namba za siku za jamaa zake wa karibu hapa HK zitanisaidia kuwailiana nao. Nasubili jamani!!
   
 7. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,529
  Trophy Points: 280
  Asante Mvuni, hapa ndipo ninachowapendea Watanzania, pamoja na tofauti zetu mbalimbali, inapotokea shida tuu wamoja katika kusaidiana kwa hali na mali.
  RIP Mtanzania mwenzetu wa Hong Kong.
   
 8. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Mtoa taarifa kachanganyikiwa na wala hasomi comment! Mbona yuko kimya au kalala?
   
 9. bht

  bht JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  huwa nachukizwa sana na taarifa vipande vipande kama hizi. Sasa hapa ni kipi hasa ulichotuarifu hata kama kuna watu wangependa kutoa huo msaada, ulichoandika kitasaidiaje....?

  Siju huwa mnaharakia nini?
   
 10. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #10
  Sep 4, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Huku kuingizana mjini!
  Mtu hatajwi kwa jina, kazi, umri wala lolote linalomuhusu,
  Bali tumchangie tu dogmatially.
  Kawadanganye hao hao!!
   
Loading...