Mtanisamehe kwa hili

Ndio naelewa ila your past should never be a reason for your failure
 
Hii inawahusu watu wa DSM. Sisi wa mikoani usafiri wetu ni pikipiki ambazo % kubwa watu tunamudu kununua. Bajaji zipo njingi na zinatafuta wateja.
Dsm kwa kweli ndio mkoa wenye maskini wengi.
Hakika usione watu wanaishi hili jiji,
Wengine wanasindikizia tu wengine kuishi huku wao waki survive kama wanyama
 
Nilipokuwa early 20's nilikuwa nawashangaa watu ambao hawajafanikiwa. Yani inawezekanaje ufike 30's na huna ramani au hata nyumba ya mbavu za mbwa.

Ahhh life limenihambo sanaaa. Nikaelewa tu sometimes maisha ni mchakato wa kila siku so, ukimuona mtu anajilisha na kuwalisha wengine. Anasimama wanasoma na kukaa vizuri..

Hata ukimkuta sehemu muache
 
Kijana haijui dunia bado😅
 
Wacha kutoa povu kama chura kiziwi anza kuchukua hatua kubadili mausha yako ewe mmatumbi. Kulia lia hai saidii na ilihali unajua namaanisha nini. Nyie ndo mliojikatia tamaa mnajifanya wagumu kumbe life ilisha wa humble toka zamani
 
Haya Bwana mdogo,Kuna uyaone!
 
Umesema gari la shem likawa limeharibika?!@¿ kwa iyo unaishi kwa dadako au ndo sijaelewa mimi mkuu. Acha tu nijifanye sijaelewa huu maana mwisho ntajikuta nimekwambia wewe nh mke mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…