Badala ya kutusema sisi,iambie SIRIKALI yenu iboreshe usafiri wa umma ili kupunguza uchafuzi wa hali ya hewa na mifoleni isiyo na kichwa wala miguu!Enyi wamatumbi mnao taka kuwahi magari ya daladala. Naombeni mnisamehe kwa bandiko hili ila naomba mjitafalari kidogo.
Hivi huwa mnajisikiaje ndani ya nyoyo zenu? Yaani unakuta mtu wa miaka kuanzia 35 na kuendelea eti na yeye anakaa kupambana na vijana wa miaka 20 kwenye daladala.
Wth is wrong with you guys? Hivi ni kwamba mmekata tamaa ya maisha Liwalo na liwe tu? Mimi sema kweli juzi gari la shem lilikua bovu so tu kasema instead of ubering gari ngoja nikapande gari za daladala just for fun maana ni muda mrefu sana.
So katika kufikia pale kituoni kulikuwa na abiria wengi sana, Ila cha kushangaza ni kuwa kulikuwa na watu wazima kabisa.. Yaani nikawa nawacheki wale watu nasikitika tu moyoni najiuliza hata 6M mtu anashindwa kweli kudunduiza akipata? Dah aisee alafu ukiangalia hata mindset za hawa watu, bado kabisa they are man child. Bado hawajakuwa kifikra, basi unaishia kusononeka tu.
Jamani hiki kitu so kizuri hasa kwa watu wazima. Imagine baba wa familia huna usafiri wako, inaitwa mzee wa Kaya. Hapo kuna watoto nyuma yako.. How does that feel?
Hivi wewe kweli una hisia? Kweli kabisa uko sawa kuona wenzako wanaishi maisha na wewe una survive? Kweli kabisa huna uchungu ndani yako wa kujifanya upambane not just for you, ila kwa ajili ya watu walio nyuma yako?
Atleast hata uwe example nzuri kwa wanao kuangalia? Ndugu zangu fanyeni kama kujihurumia. Angalieni mustakabli wa maisha yenu. Angalieni kuwa tayari umri umesha sogea na regrets za mtu mzima ni mbaya zaid ya kijana aliye kuja kubadilika na kutoboa.
Haya, kuna watu huwa wana nongwa. Wewe mwenye nongwa endelea kuona uko sawa mpaka siku ufakapo kuja kidharauliwa na vitoto vya elfu mbili ndo utajua na maanisha nini.
Asubuhi njema. Na eny wamatumbi wahini kazin mkaendelee kufanya jambo lile lile kwa miaka 50 straight.
Nimemaliza.
Hiyo ni topic nyingine kubwa ambayo kimsingi.. Ni matokeo ya utawala mbovu. Mpango mji mbaya na watu wenyewe kuto ku staarabika.Badala ya kutusema sisi,iambie SIRIKALI yenu iboreshe usafiri wa umma ili kupunguza uchafuzi wa hali ya hewa na mifoleni isiyo na kichwa wala miguu!
Usafiri wa umma ukiboreshwa,wenye magari wengi watayauza!Hiyo ni topic nyingine kubwa ambayo kimsingi.. Ni matokeo ya utawala mbovu. Mpango mji mbaya na watu wenyewe kuto ku staarabika.
🙄🙄Hii ni platform yenye watu wa kila aina. So nimegrneralize na niki bandika hivi wasomao ni wengi kuliko walokuwa kituoni
Unakuta huyu ana Corolla chafu toleo la 1980 halafu na yeye anadharau tusio na magariEnyi wamatumbi mnao taka kuwahi magari ya daladala. Naombeni mnisamehe kwa bandiko hili ila naomba mjitafalari kidogo.
Hivi huwa mnajisikiaje ndani ya nyoyo zenu? Yaani unakuta mtu wa miaka kuanzia 35 na kuendelea eti na yeye anakaa kupambana na vijana wa miaka 20 kwenye daladala.
Wth is wrong with you guys? Hivi ni kwamba mmekata tamaa ya maisha Liwalo na liwe tu? Mimi sema kweli juzi gari la shem lilikua bovu so tu kasema instead of ubering gari ngoja nikapande gari za daladala just for fun maana ni muda mrefu sana.
So katika kufikia pale kituoni kulikuwa na abiria wengi sana, Ila cha kushangaza ni kuwa kulikuwa na watu wazima kabisa.. Yaani nikawa nawacheki wale watu nasikitika tu moyoni najiuliza hata 6M mtu anashindwa kweli kudunduiza akipata? Dah aisee alafu ukiangalia hata mindset za hawa watu, bado kabisa they are man child. Bado hawajakuwa kifikra, basi unaishia kusononeka tu.
Jamani hiki kitu so kizuri hasa kwa watu wazima. Imagine baba wa familia huna usafiri wako, inaitwa mzee wa Kaya. Hapo kuna watoto nyuma yako.. How does that feel?
Hivi wewe kweli una hisia? Kweli kabisa uko sawa kuona wenzako wanaishi maisha na wewe una survive? Kweli kabisa huna uchungu ndani yako wa kujifanya upambane not just for you, ila kwa ajili ya watu walio nyuma yako?
Atleast hata uwe example nzuri kwa wanao kuangalia? Ndugu zangu fanyeni kama kujihurumia. Angalieni mustakabli wa maisha yenu. Angalieni kuwa tayari umri umesha sogea na regrets za mtu mzima ni mbaya zaid ya kijana aliye kuja kubadilika na kutoboa.
Haya, kuna watu huwa wana nongwa. Wewe mwenye nongwa endelea kuona uko sawa mpaka siku utakapo kuja kidharauliwa na vitoto vya elfu mbili ndo utajua na maanisha nini.
Asubuhi njema. Na eny wamatumbi wahini kazin mkaendelee kufanya jambo lile lile kwa miaka 50 straight.
Nimemaliza.
Hii line umeua sana. Naongezea baada ya nukta hapo, "huku mkitegemea matokeo tofauti"Na eny wamatumbi wahini kazin mkaendelee kufanya jambo lile lile kwa miaka 50 straight.
Sawa tajeer,
Hii ungewaeleza huko kituoni,huku jf Kila mwanaume anamiliki ndinga kali.
Eeh,hakuna anaeisha dar.Kwanza wote tupo ughaibuni...
Enyi wamatumbi mnao taka kuwahi magari ya daladala. Naombeni mnisamehe kwa bandiko hili ila naomba mjitafalari kidogo.