Mtangazaji wa Redio Free Africa auliza swali kuhusu utawala wa awamu iliyopita

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,182
8,946
Wanajamvi shikamoni, nimekuta mjadara huu pahala nikauleta kama ulivyo,naomba mmusaidie kujibu mwandishi huyu, Kijana wa Redio free.

''May Mos...kwambaaaaa Mpaka sasa wafanyakazi hewa ni 10,295 malipo yao ni zaidi ya bil.11, kati yao 8,372 ni kutoka Tamisemi na 1,922 serikali kuu... Source JPM ktk siku ya wafanyakazi Dom kitaifa... Hivi serikali iliyopita walikuwa watanzania ama ni kwa msaada vya watu wa..... ? Hivi hii nchi watu wake hasa viongozi walikuwa na dini na maadili na misingi?????''
 
Ilikuwa shamba la bibi, kila mtu akiangalia namna ya kupiga sehemu yake
 
watu mnaogopa kuusema ukweli, nchii kikwete angepewa miaka mitano mingine tulikuwa tunaelekea kuzima, mkwere zake ngoma kitu kingine wanaume wa pwani na Dar mnisamehe maana hivi alishindwaje na magu anawezaje?
 
Wanajamvi shikamoni, nimekuta mjadara huu pahala nikauleta kama ulivyo,naomba mmusaidie kujibu mwandishi huyu, Kijana wa Redio free.

''May Mos...kwambaaaaa Mpaka sasa wafanyakazi hewa ni 10,295 malipo yao ni zaidi ya bil.11, kati yao 8,372 ni kutoka Tamisemi na 1,922 serikali kuu... Source JPM ktk siku ya wafanyakazi Dom kitaifa... Hivi serikali iliyopita walikuwa watanzania ama ni kwa msaada vya watu wa..... ? Hivi hii nchi watu wake hasa viongozi walikuwa na dini na maadili na misingi?????''
Radio free ni wafuasi wa CCM,kwa hiyo swali la namna hiyo wanatarajiwa kuwa na jibu lake wao kama wana CCM!
 
Mkitaka kujua maana ya Tanzania iliyopita angalia na viongozi wa utawala wake utapata jibu
 
Hali ni mbaya CCM yaani wakikaa wanaona ni bora wange malizana na Lowasa yaishe,kuliko Magu anacho wafanyia wana juta kumpa ikulu huyu mtu muacheni jamani.
 
Watumishi hewa wamekuwepo awamu zote nne za nyuma sio wakati wa mkwere tu
 
Wanajamvi shikamoni, nimekuta mjadara huu pahala nikauleta kama ulivyo,naomba mmusaidie kujibu mwandishi huyu, Kijana wa Redio free.

''May Mos...kwambaaaaa Mpaka sasa wafanyakazi hewa ni 10,295 malipo yao ni zaidi ya bil.11, kati yao 8,372 ni kutoka Tamisemi na 1,922 serikali kuu... Source JPM ktk siku ya wafanyakazi Dom kitaifa... Hivi serikali iliyopita walikuwa watanzania ama ni kwa msaada vya watu wa..... ? Hivi hii nchi watu wake hasa viongozi walikuwa na dini na maadili na misingi?????''

Uongozi wa mr dhaifu ulikuwa wa wapiga dili watupu, kwa hiyo waliiacha nchi iwe shamba la bibi kwa makusudi wakati wao wakiendelea kuiba bila huruma.
 
Back
Top Bottom