Mtangazaji wa CTN Rahma Aziz

Maandamano yuko sahihi, Lucky Dume ndio alichanganyikiwa kwa Rahma akamuuliza umeolewa akajibu hapana, kisha akamwambia UISO (aliyekuwa promota wake kama sijakosea na kumleta Bongo) kuwa anatamani kumuoa Rahma so afuatilie taratibu za kutoa mahari kwao. Lakini naamini it was just a joke!

Kwa tunaokumbuka hiyo kitu,you are right!
 
Peace Kuyamba naye yuko Marekani..anashinda KFC lakni mwili wake utafkiri Mtrukana....

next?
 
Najua Misanya Bingi yupo UDSM anafundisha, Vicky Msina anafanya kazi BOT, Sunday shomari yuko Marekani VOA, Rahma AZIZ sijui ndio maana nikauliza

Asante Mkuu, Kwa Taarifa, nia ya kuuliza vile ni kutaka kujua zaidi ya swali lako, maana ni kweli yule mtoto wakiasia alikuwa anakimbiza sana.
 
Hiv na yule Sabrina alikua anatanganza zaman ITV saa 5 usiku taarifa ya habari kwa kiingereza alikua ni mwarabu,sijui ashapotelea wapiii!!!?
 
mtoto alimchanganya hadi marehem lucky dube

Kwani Dube alikua na kipi cha ajabu na manywele yake au kisa umaarufu? Hata sioni cha ajabu yeye kumtamani huyo Rahma maana ni mwanaume kama wengine
 
Pichaa ya Rahma!!!

Rahma Aziz ni huyu hapa, bado anang'aa kama zamani na mvuto bado 100%, Na pia anapatikana Facebook kwa jina la Classic Rahma, is there anything else u want to know huh? ImageUploadedByJamiiForums1394108811.135328.jpg ImageUploadedByJamiiForums1394108871.667503.jpg , ImageUploadedByJamiiForums1394108671.048244.jpg ImageUploadedByJamiiForums1394108712.009073.jpg Hii ya Mwisho yuko na Mr wake...!


Sent from my iPhone
 
Back
Top Bottom