Mtangazaji wa clouds adam mchomvu aonyesha shamba lake la bangi

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,070
2,000


Mtangazaji Maarufu wa Clouds Fm Ameweka picha ya Shamba lake la bangi mtandao wa Instagram na kusema haya:
"Mic na Mziki wa Bongo Ukizingua Kilimo Kwanza Kinanihusu"
 

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,876
2,000
Huyo haitaji mpaka akuoneshe shamba ndio ujue anatumia. Pale clouds fm na mheshimu sana b12 ni mtu makini sana na mwenye busara hakika.

Najua hakuna aliye kamilika lakini b12 nimtangaji mwenye busara sana.

Mtu kama adam ana ujinga mwingi na nimropokaji na ukimuuliza hili jambo kafanya hili watu wajifunze nini hawezi jibu.

Huyu ni mmoja ya watanzaji ambao hawako mentally stable hapa tanzania.

Pia inaonekana hata pale clouds wana leana sana maana jambo kama hili lina haribu reputation ya media anayo fanya kazi na wangekuwa makini wange mrudisha huyu mtoto kwenye mstari.
 

Deshmo

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
4,776
2,000
Atabwabwaja kesho!!!! Utasikia jamiiforums bhana,jamiiforums nini,bora akalime bange utangazaji aachie wenye uwezo
 

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,070
2,000
Clouds Media hawajali huu upuuzi wa hawa vijana wao.

Mi nashangaa polis wa nchi hii sishangai media.
nchi hii unaweza kuweka picha facebook unabaka mtoto mchanga na usifanywe kitu.

Nchi za marekan,asia, ulaya etc watu ufungwa jela kwa ushaidi wa kimitandao
 

FYATU

JF-Expert Member
Dec 7, 2011
5,366
2,000
Kuna mambo ya kushangaza........kwa mfano Mr Bean kucheza moonwalk etc....lakini sio kumshangaa Adam na bhange..... Nikiulizwa.....Adam asingekuwa mtangazaji angekuwa nani.......nitataja 20% au JCB.....
 

naumbu

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
4,710
2,000
Ujanja wa machalii wa Chuga dah alafu wakija jijini wanajiona wajanja sana kumbe mambwisi tu refer Lord Eyes,Ibra da hustler na huyu gebwe
 

Mtanzanika

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
2,391
2,000
huyu jamaa akili zake zimeegemea upande wa kushoto.
Lakini je! Hiyo Picha ya bangi pembeni, ni kweli hiyo bangi ipo hapo alipo yeye!?
 

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,070
2,000
huyu jamaa akili zake zimeegemea upande wa kushoto.
Lakini je! Hiyo Picha ya bangi pembeni, ni kweli hiyo bangi ipo hapo alipo yeye!?

Uyu licha ya kulima pia ni mvutaji mzuri wa bangi. Serikali naona ni kama imeruhusu bangi inangoja nini kumchukulia hatua uyu tena amedharilisha mbiu ya kilimo kwanza.

Inaonekana kilimo kwanza ni ata ulimaji wa bangi
 

FYATU

JF-Expert Member
Dec 7, 2011
5,366
2,000
Lakini je! Hiyo Picha ya bangi pembeni, ni kweli hiyo bangi ipo hapo alipo yeye!?
Picha ya bangi inajitegemea wala haihusiki, mleta uzi ndio ameiunganishia..........Ila we changia/comment chochote tu.....hivyohivyo......kama nilivyochangia mimi..........
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom