GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,611
- 127,998
hahahahahaha dally kimoko weee
Hahahahaha!mbinguni tena?
hahahahahaha dally kimoko weee
Huyu aliishi Milton KeynesHuyu Jackie ni mdogo ake
Gitaa la Dally Kimoko likikubali lazima tu utaamka kitini ucheze Mkuu. Halafu sijui ni kwanini Gitaa la Dally Kimoko huwa linapenda sana ' Kushtukiza ' hasa katika upigaji wake na ule mlio. Dada umeshawahi kulisikia lakini Gitaa hilo? Tafuta Wimbo wa ' Inde Monie ' wa Kanda Bongoman au ile Album ya Aurlus Mabele ya ' Stop Alertez ' utalisikia hilo Gitaa la Dally Kimoko jinsi linavyounguruma.
Hahahahaha!
Hahahahaha! Wengi tutaisikia kwa matendo yetu.teh teh usicheze na mbingu mkuu
aiseePlata O plomo
Plata indeed.
R. I. P
Radio Uhuru?