Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
Kwa hio karudi hajarudi?
Mwambie hando na pj mkataba uliisha clouds na wakaondoka na kashfa kibaoDina -alikuwa hana kazi
Gadner-alikuwa times fm
Pj- kakaa miez hata mi 4 haija fka
At least Gerald Hando sawa ndio anaendelea
Claims zako asilimia kubwa si kweli