El Mincho
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 1,943
- 4,328
Sijui ni waarabu au vipi ? Mama yake ni wale wagunya wa Mombasa. Baba yake ni mnyamwezi wa Tabora kwao mtaa wa Bachu pale. Baba alikua Information manager wa Williamson Diamonds Ltd. Na wao wamekulia Mwadui mgodini. Masoud Masoud alisomea O' level Shinyanga Secondary School aka Shybush baadae akaenda Dar na kua DJ kwa jina la Nigger J. Hayo ndio nakumbuka alisoma na kaka zangu hapo mgodini, mie nimesoma na wadogo zake shule ya msingi classmate, Hemed Masoud.ni chotara wa kiarabu,mama yake ni mwarabu na baba yake ni mswahili