Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,586
- 7,975
Wanamwita manju wa muziki. Huyu ni mtangazaji mkongwe na nguli wa maswala ya muziki na wanamziki, kupitia TBC.
Ukimsikiliza Masoud, utaelewa umuhimu wa specialization katika utangazaji, uandaaji vipindi na uandishi habari kwa ujumla.
Masoud anaelewa ni nini anachofanya na kwa muktadha muafaka.
Ukifuatia simulizi zake kimuziki sio tu zina mizania ya kimantiki bali pia zina mtiririko kama movie fulani hivi inayokushawishi kuendelea kuitazama uone mwisho wake.
Hongera Manju,
MASOUD MASOUD !
sasa sifa za kijinga zinatoka wapi hapo kiongozi, kama nimeoverlook si unarekebisha kisha unaendelea na mengine.Acha Urongo huyu Alikuwepo Radio One na Sasa yupo TBC nini unazungumza wewe au ndio zile zilizoimbwa sifa za kijinga
Hata akiongea Kiingereza ni very smart. Grammar and accent super
Zomboko mtu wa kujikomba sana..afu yeye anajua mziki wa bendi za Daresalama tu na ubabaishaji mwingiii
I see!!!!Alikua katika mazingira ya kuongea kiingereza tu. Toka azaliwe na kuanza kuongea, lugha ya kwanza kuongea ni kiingereza na kiswahili alianza kujifunza akiwa na miaka 16 mpaka 20 hivi. Kuna mahojiano fulani nilimsikiliza vizuri sana
Daaaah kweli jamaa ni bitoz tangu zamani
duu nilidhan kavuta
R.I.P
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85] [emoji85] nimecheka saaaaana asante Maan mseto wa Malaria unanizinguavyombo vya hbr vya ccm tbc + uhuru fm&magazine huwa sivipi muda kamwe,........kutwa nyimbo za vijembe kwa wananchi
Aisee we umenichekesha sana khaavyombo vya hbr vya ccm tbc + uhuru fm&magazine huwa sivipi muda kamwe,........kutwa nyimbo za vijembe kwa wananchi
Hivi ni kweli kwamba ndo baba wa Ibrahimu Masoud Maestro ambaye ni mchambuzi wa habari za michezo E FM?
nimecheka saaaaana asante Maan mseto wa Malaria unanizingua
wakuu nawashauri mkae navyo mbali,.maana unaweza kurusha ngumi kwenye radio/tv ,aiseeAisee we umenichekesha sana khaa
Sisikizi wa la kuangalia tbcwakuu nawashauri mkae navyo mbali,.maana unaweza kurusha ngumi kwenye radio/tv ,aisee
Asante sana kwa ufafanuzi muruaNi kaka yake wa kuzaliwa hawa ni watu wa Tabora kwa baba na mama ni mpemba kama sijakosea.
Yani nimeimagine baba aliyeshindwa kumtimizia mwanae mahitaji matokeo yake anamuimbia mafumbo mwanae ambae anaweza hata asimuelewe...nimecheka sanawakuu nawashauri mkae navyo mbali,.maana unaweza kurusha ngumi kwenye radio/tv ,aisee