yaaa siku hizi ni kutuma demo kwanza haitwi mtu bila kusikia sauti yake labda ngoja nikuandalie script usome halafu record weka jamvini hapa ukifanikiwa kusoma vyema nitakuunganisha mahala moja kwa moja! wengi wameshasema wanaweza wakishafika studio wakajaribiwa hata wakishindwa wanalilia ooooh nitajifunza nitaweza!!! hatutaki hiyoooo nitakutumia scripti kupitia pm yako kesho masaa ya mchana halafu uisome na urekodi kwenye any form ingawa nzuri kwenye software yeyote unayoijua ya sauti iwe fruitloop,adobeaudition,pinacle nk!
Ni mdau katika sekta hiyo niliyekata shule Afrika Kusini kwenye tasnia hiyo na kufanya practical pale SABC natambua hata harufu tu ya sauti!!!!