TANZIA Mtangazaji Jerry Springer afariki dunia

Daa mwamba huyu alitengeneza umaarufu sana katika kipindi chake hicho

Yaani ngumi nje nje
Nilikuwa naangalia miaka ya 90 alipoanza kama kipindi cha siasa na kuwahoji watu maarufu na baadae kubadili na kuwa tofauti kabisa

Apumzike anakostahili
Bongo sahv ndiyo wanajaribu kuiga
Mambo vipindi aina hii

Ova
 
Icho kipind kinaonyeshwa tv gan
Hichi kipindi cha zamani sana mkuu kilikuwa tangu miaka 90s huko
Kwa aina ya NYUZI zako Kuhusu wale sikategemea kama hukuwa ukifahamu hiki kipindi
FB_IMG_1680513867479.jpg
 
"your are not the father..."

Bonge la aibu kwa mwanamke hapo

Kipindi chake aibu nje nje ngumi nje nje kati ya wapenzi au familia

R.I.P
 
Ma Legend wanasepa, aliondoka mzee wa sozpenda Larry King now Jerry Springer
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom