hao wengine mbona hawana shida sema huyo mwenye simu ndo kazingua
Hii tabia ya watu kupigana picha wakati mtu yupo kwenye maombi sijui WATANZANIA Wameitoa wapi, WANAKERA Sana
Makanisa yamejaa vibaka na malimbukeni wa SMARTPHONE, Mtu yuko ibadani katikati ya maombezi ( Imani za watu ) unampiga picha, uzuzu mtupusidhani KAMA KUNA MAOMBI YA KWELI SIKU HIZI
yaani wanaboa kweli ningependa makanisa wasiishie kusema watu wazime simu zao bali wangezuia na kuingia na simu kwenye nyumba za ibada huenda ingesaidiaHii tabia ya watu kupigana picha wakati mtu yupo kwenye maombi sijui WATANZANIA Wameitoa wapi, WANAKERA Sana
Huwa anatangaza kwa mihemko.Moja ya watangazaji bora kabisa Tanzania hasa kwenye scene Jamaa anapresent vzr sana alitakiwa awe BBC au CNN au hata aljazeera..
Jamaa yuko vzr sana anavyotangaza
Sahihi kabisa ila kwenye studio hayuko vzr sanahapa umenena kwenye scene yupo vizuri
Labda CNN ya BuguruniMoja ya watangazaji bora kabisa Tanzania hasa kwenye scene Jamaa anapresent vzr sana alitakiwa awe BBC au CNN au hata aljazeera..
Jamaa yuko vzr sana anavyotangaza