Mtangaza nia wa ACT Wazalendo ni udhalilishaji mwingine kwa taasisi hii ya Urais

Hijja Madava

huyo kakataliwa ndo maana anasema hivyo, vyama kuunganisha nguvu siyo kuingilia itikadi ya ndani ya vyama, mwanachama wa ACT ndo anatakiwa kutangaza mali, UKAWA hawaendi kuwa wanachama wa CHADEMA ama CUF kila mmoja anabaki na uanachama wake.
 
Last edited by a moderator:
Hijja Madava

Bora ya huyo mama mkamilifu wa viungo anafaa sio kama Slaa na ule mkono atasalimiana vipi na wageni au Mbowe na macho kumchuzi yale si atafukuzwa ugenini.
 
Last edited by a moderator:
Nilimwaona Huyu Mgombea na ndipo Nikajua ACT-Wazalendo Wako Kimkakati na Washirika Wao CCM. Ni yale Yale Yaliyofanywa na

Hashim Rungwe Siku ya Kufainalize Campaign Wanacoverge Jukwaa la Mgombea wa CCM na Kutangaza kura za Watu wao Wapewe CCM.

ACT- Hapo Hakuna Mgombea Kwa Maana Personality yake tu ni Issue,Yaani Mgombea Makini anapatikana Kama Watu wapo Kitchen Part.

Nadhani dhana ya ACT-Wazalendo ni ile ya Kwamba "Tukose Wote". Wanadhani Wataweza Kuwaconvice Watanzania Baadae Miaka

Inayokuja Tuwape Ridhaa.


Hawa jamaa hawataenda mbali na siasa hizi za Bongo. Trust me.
Wanaweza kuishia kusomba viti viwili vitatu vinne kwenye ubunge lakini hawatachomoza sana.
Vigeu geu sana na hamna hata mtu atakayepoteza kura yake kuwapa kwenye Urais.
Tupo hapa utashangaa hata kwenye ubunge watasota sana.
Bado saaaaanaaaaa.
Viongozi wao kwanza wanaonekana ni vigeu geu wenye uchu wa madaraka na wanaodhani kuwa wao wanaweza sana, walivyotoka CDM walikuwa convinced kuwa wanaweza sana bila CDM, sasa tunawangojea mwisho wa mbio zote pale mbele aibu yao itakavyowafunika.
 
Kijana una dharau sana wewe, kwa kweli sikutegemea great thinker wewe unaweza kuja na hoja ya mwonekano wa mtu. WaTz tuna matatizo sana, akija mtu kavaa nguo za gharama watasema ni mwizi, akija mtu simple watatsema hana hadhi. Hivi jiulize kama huyu ndio angekua mzazi wako je ungekuja hapa na kutoa kashfa hizi? Usimdhara mama wa mwenizo maana huji mama yako huko aliko naye watu wanamchukuliaje. Heshimu mtu kwa namna alivyo na sio kwa nini alichonacho? Wewe ni mbaguzi sana. Sasa wale wazazi wetu kule vijijini si ndio utawafananisha na choo ukawatema na mate. Jiheshimu wewe, heshima hainunuliwi. Na pia elewa kuwa watu wengine hawapendi show off, unaonyesha unapenda sana kujikweza wewe. Tambua kabla hujafa hujaumbika, leo wewe jione bora lakini Mungu anaweza kukuonyesha hata sasa hivi. Kiongozi wa chama kaona anafaa, wewe huna hata title unaona hafai, kijana angalia kauli zako utapata laana

Nimeipenda sana hii, mode niwekee like ya juu kwa juu
 
how do you judge a book ? by its cover or its contents?

kwako wewe unadhani ni sifa zipi zinahitajika kwenye uraisi? na hapo ndipo penye utata panapofanya mambo mengi kudorola kwenye jamii.
Hijja Madava
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ndio democracy maana mtu mwenye vigezo vyake ni ruksa kugombea au wewe ulitaka awe na muonekano gani jamani?
 
Chama chenyewe ni act-wazalendo maana yake maigizo ya wazalendo.
jana kwenye taarifa ya habari ya saa mbili ITV
nilimwona huyo mama mtangaza nia ndo nikajua kweli wanamaanisha maigizo na si
vinginevyo.Lakini nadhani kwa kuwa ni mzalendo huwenda alikuwa anamaanisha.

Tafadhali wahusika mpeni nafasi
 
Huyu anavuruga mchakato tu. Na wakati mwingine system inatumia ujanja kuteka mjadala Wa mchakato has a wakati huu muhimu
 
kwa hiyo mnaangalia mrembo au handsome ndio awe rais wa nchi.Kama ni hivyo mchagueni Hemedi au mnichague mimi.
SIo urembo wala nini. Ila uwezo wa mtu ndio unaangaliwa, sasa yule mama alikuwa zaidi ya comedian.
 
ACT kuanzia kiongozi Mkuu wana mission moja tu: kudhoofisha upinzani, wakilenga hasa CHADEMA
 
Huyu mama amevunja katiba au anatumia haki yake kikatiba kama Mtanzania? Na hao marais ma-handsome wamekusaidia nini? Mijitu mingine bwana!
 
Na kiongozi mkuu alisema atampisha mgombea urais kwenye nafasi ya kiongozi mkuu wa chama, tuone kama atampisha huyu mdada.
 
huko ukawa mbona watu useless wamejaa na ndio wagombea kila mara, na bado mnataka waende Ikulu, uongozi hauhitaji mwonekano au elimu kubwa, ile ni karama tu, nani kasema kutatua changamoto za kawaida, inahitaji degree??
Stroke huwa inaathiri uwezo wa kufikiri, sikulaumu.
 
Na kiongozi mkuu alisema atampisha mgombea urais kwenye nafasi ya kiongozi mkuu wa chama, tuone kama atampisha huyu mdada.
Wagombea wapo wengi ambao wanachukwa fomu za urais nashangaa sana pro-Chadema wanataka kuwapigia ACT-Wazalendo mgombea urais wakati kwao UKAWA mpaka leo giza.
 
Back
Top Bottom