EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
LIPIA TANGAZI LA TTCL
Tigo pia kuna maneno kwenye vifurushi na network Yaani internet ni kama hamna tu sijui kulikoni Mb zinaliwa mtandao hamna Yaani.Mleta mada sio voda to na Tigo kuna maneno
TTCL bandika bandua,1000 GB (4,)24 hrs,5000(8)GB siku 7 kazi kwakoebu tupe vifurushi vya ttcl so we can compare na hawa wengine... then tunahama!
nina wifi je naweza kui unlock? Ni software gani inatumika Ku unlock mkuu?
Kwa hali hii, nyumbani kweli kumenoga. Line zao zinapatikana wapi?TTCL bandika bandua,1000 GB (4,)24 hrs,5000(8)GB siku 7 kazi kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Line za hao Ttcl zinapatikana wapi?Kuna ile pia ya 1000 gb 4 unatumia mb 600 kawaida then gb 3.5 unatumia kuanzia saa 2 usiku had 12 asubuh
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
Rasmi nimeamua kuunga mkono ile kauli mbiu ya rudi nyumbani, kumenoga. Rasmi nahamia TTCL. Mnachotufanyia Vodacom na mitandao mingine ya mawasiliano hapa nchini sio kabisa.
Kwa muda mrefu nilikuwa naisubiria muvi ya Aquaman iwekwe YIFY. Kama zali kweli leo asubuhi na mapema kabisa ikawekwa. Usingizi ukaniisha palepale, nikawasha laptop yangu chap chap na kufanya teathering kwa njia ya simu.
Mimi ni mpenz wa kuangalia muvi ilodownlodiwa kwa quality nzuri, so nikachagua yenye 1080WEBRip ambayo ina GB 2.3. Then nikajiunga DAR SUPER UNI za GB 1 tatu kwa shilingi elfu moja each. Nikawa na GB3 zangu saafi wakat muvi inahitaji GB 2.3.
Sasa kilichotokea ni kituko, hizo GB 3 zimeisha wakat muvi bado ina MB 600 tuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]. Na sikuwa nasurf chochote kile na wala laptop haikuwa background program zozote zinakula data. Sijaweka automatic update yyte ile.
Aisee nimeudhika sana ikanibidi nitoke nikanunue vocha ya TTCL tuu. Nimejiunga boom pack yangu, nikashusha muvi kwa raha zangu na data zimebaki kibaaaao. Shame on you mitandao mingine kwa mnachotufanyia siku hizi. Maisha ya sasa yanahitaji data zaidi katika mawasiliano kuliko hizo dakika na sms. Ni bora mkatoa hizo madakika mengi mnayoweka ila muongeze ubora wa vifurushi vya data.
View attachment 1038414
M-PESA napo utata..wanabadilishabadilisha charges za kuweka na kutoa...Nina miaka miwili nimehama voda,voda natumia kwenye m-pesa tu,data mimi na airtel chuo/halotel chuo/TTCL tigo ndio siifikiri kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
kama unatumia windows 10, hakikisha hiyo wifi umeiweka kuwa 'metered connection' kwenye network settings, kinyume na hapo hii OS ina download updates kimyakimya utashangaa tu MB zimeyeyuka.
Lakini usibadili uamuzi, hamia tu TTCL (kama uko sehemu yenye 4G, mf. dar), voda wameshiba wateja hawajali tena
mbona barabarani nyingi tuLine za hao Ttcl zinapatikana wapi?
ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓
Bandika Bandua ni GB 4 kwa Tsh 1000 masaa 24Ebu tupe vifurushi vya ttcl so we can compare na hawa wengine... then tunahama!
Mifi ya ttcl ni bei gani?Nilikuwa na 889MB nikawa nadownload notepad++ ambayo haizidi MB 20 wakatuma taarifa kwa voda taarifa kuwa MB zimeisha ila nitarudi home sweet home,hapa naungaunga buku buku nipate kibunda ya kununua Ttcl mifi