Mtandao wa TTCL umesambaa nchi nzima?

In rural areas nilikotembelea kwa kweli Halotel hawana mpinzani, mpaka internet....
Yes, na ndio ninachokifanya, yaani nikiwa kwenye mishe mishe zangu nje ya mji huwa na weka halotel kwajili ya mtandao, nikirudi home nabadilisha ndio naweka ttcl
 
Kwa mbeya ni uongo, mtandao wao upo vzr pembezoni mwa barabara kuu, ukitoka nje kidogo zaidi ya kilometer moja hakuna coverage
Sio mbeya tu mikoa mingi tu network yao ni magumashi ukiwa mjin kwel wako vizuri ukitoka nnje ya mji hata kilomita moja tu majanga
 
Kwa mbeya ni uongo, mtandao wao upo vzr pembezoni mwa barabara kuu, ukitoka nje kidogo zaidi ya kilometer moja hakuna coverage
Usiseme ni uongo sema eneo ulipo mtandao wao unashida, mi nilikua natumia ttcl maeneo ya iyunga.
 
Wana wiki sasa wanapatikana kote ata vijijini kwa kupitia network ya TIGO .Rudi nyumbani kumenoga sasa
 
Usiseme ni uongo sema eneo ulipo mtandao wao unashida, mi nilikua natumia ttcl maeneo ya iyunga.
Hivi umeelewa nilichokiandika na ukaja ku comment, kwahyo iyunga ni nje ya mji? Umewahi enda na hiyo ttcl maeneo ya itende, mabonde, swaya ukakuta ina kamata fresh?
 
wananiacha hoi tu pale laini zao zinakuwa hazisomi kwenye simu za tochi ukiwauliza wanakuambia laini zao ni za magoli waliofugwa YANGA na GORMAHIA sasa walalahoi inamaana huu mtandao hautuhusu?
Sasa hv wamerekebisha ila bando linaliwa balaa
 
wadau ninaomba kuuliza,hivi ttcl mtandao wao wa internet unapatikana nchi nzima au ni dar tu! maana wanasema rudi nyumbani kumenoka sasa kumenoga dar au nchi nzima!
Uzalendo kwanza nyumbani kumenoga,ni operation nitakayoianzisha kwa ukoo wangu turudi nyumbani tukitokea ule mtandao wa kiviet.
 
Kwa sasa ttcl inapatikana maeneo mengi ya Kilimanjaro hadi vijijini.sasa hivi niko ofisi za KINAPA natumia ttcl.
 
Hivi umeelewa nilichokiandika na ukaja ku comment, kwahyo iyunga ni nje ya mji? Umewahi enda na hiyo ttcl maeneo ya itende, mabonde, swaya ukakuta ina kamata fresh?
tigo, voda, airtel pia kuna sehemu zinasumbua hamna mtandao ambao una 100% coverage bongo hii.
 
Wakuu mimi nimeenda seem ambayo ata voda netwok amna ila yenyewe ilisoma kitu ambacho sikutegemea...kwa maeneo ya arusha nimeingia sana uko meru na vijiji baadhi inakubali bila shida ila tu kwenye internet inaishia 3g kwa 4g naona aifik
Mimi mwenyewe naishi Arusha Ila cjui internet coverage yao ikoje na vp upatikanaji wa vocha.
 
wananiacha hoi tu pale laini zao zinakuwa hazisomi kwenye simu za tochi ukiwauliza wanakuambia laini zao ni za magoli waliofugwa YANGA na GORMAHIA sasa walalahoi inamaana huu mtandao hautuhusu?
Mkuu hilo tatizo linashughulikiwa sasa unaweza kutumia kwenye simu ya tochi na simu hizi za Kichina za batan.
Kwa Arusha mambo yanakuwa sawa, I hope na huko mambo yatakuwa sawa soon.
Mi natumia LINE kwenye smartphone na kwenye cm ya tochi, kuna mteja nimemsajilia laini anatumia kwenye itll ya batan na kwenye mordem na smartphone anatumia vizuri.
Rudi nyumbani kumenoga
 
Mkuu kama upo Arusha nijuze bs internet coverage yao iko vp na vp upatikanaji wa vocha upoje.
 
Back
Top Bottom