Mkuu 4G yao ni majanga,nakushauri usihamie.Hawa tigo sijajua km wao wenyewe hawaoni hiyo Internet yao!? Yani ni hovyo hovyo tu, pamoja na kuwa saivi wanapromote 4G, but 3G na 2G ni majanga tu. Sasa tukihamia wote 4G si ndo mtashindwa kutuhudumia kabisa, embu rekebisheni mnaboa sana nyie tigo na Internet yenu.
Leo nimeamua ku-refresh niperuzi kwa MB nyingi weeee mpaka nichoke,nikaamua nijiunge na kifurushi cha chuo cha tiGO chenye MB nyingi,sasa nakereka tu,hamna chochote nilichafanya.Mkuu mitandao ipo mingi, tigo wakizingua piga chini fasta, kwanza unapata hasara mara mbili ukitumia tigo, unapoteza muda, unapoteza hela.
Unatumia simu gan mkuuLabda huko kwenu.
Mimi naenjoy sana internet ya Tigo 4G.![]()
BAS SIMU YAKO NI YA 2G NDUGU ILA KAMA INA SUPPORT 3G JARIBU KUANGALIA SETTING ZAKOMimi nikitumia halotel inaandika E
Naomba kujua jinsi ya kujiunga na kile kifurush cha UsiKU cha TIGO cha 10GBUnatumia simu gan mkuu
Tigo hawana kifurushi cha usiku cha Gb 10 wanazo Gb 4 tu Halotel na Airtel ndo wanavyo.Naomba kujua jinsi ya kujiunga na kile kifurush cha UsiKU cha TIGO cha 10GB