ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,476
- 9,654
Walikua nacho nilikua nakitumia ila Jana nd wamekipunguza toka 10GB mpk 4GBTigo hawana kifurushi cha usiku cha Gb 10 wanazo Gb 4 tu Halotel na Airtel ndo wanavyo.
Walikua nacho nilikua nakitumia ila Jana nd wamekipunguza toka 10GB mpk 4GBTigo hawana kifurushi cha usiku cha Gb 10 wanazo Gb 4 tu Halotel na Airtel ndo wanavyo.
kuna watu bado wanatumia internet ya tigo?Dah,mtandao wa tiGO kwenye internet ni wa kipuuzi,unakosesha raha baadala ya mtu ku-enjoy,page ina-load weeeeeee.....!!!! mpaka inakata yenyewe,ukinunua bando linaisha ukiwa umefanya machache katika mengi uliyokusudia.
Kwanza tiGO inamaliza chaji ya simu haraka kwa nguvu nyingi inayotumia bila mafanikio.Ukitumia 2G ili uokoe chaji ni shida,ukitumia 3G ili u-download speed yake ni kichefuchefu.
Wahudumu wake washamba,vitu vingine vinavyohusiana na mtandano wao ukiwauliza hawajui.
Voda na ninyi mshaanza kuwa kama tiGO,shauri yenu,mtahamwa,watu hatuangalii majina,tunaangalia ubora.
Hapa kilichobaki ni kuhamia halotel mazima,halotel ndiyo jembe la uhakika,mi' mwenyewe nawakubali.
Ukisikia mawakala wa tiGO ndiyo hawa.mm nipo Dodoma hawa Tigo wapo safi sana na ni faster kwa internet, Whatsapp, Imo, Mabdro nk
Halotel kuna kipindi ukiitumia hata kwenye simu km sio Line yake ina-block sembuse internet
Bado Dodoma hutudanganyi kwa Tigo hata 3G ni faster
punguza jazba we mzeeHata iwe tiGO 8G,tiGO siwakubali kabisa