Mtandao wa Tigo umepatwa na nini?

Mtandao wa Tigo umepatwa na nini?

Jamani vp kuhusu hizi meseji za nitumie kwenye no hii jina litatokea kidubwashika chandombwa hivi hawa wezi wanapata wapi no hizi wajuzi embu nielewesheni
Tigo....Airtel.....voda....halotel..EXCept....TTCL ..MKUU
 
Sio kweli.
Najibu kwa niaba ya watumiaji wa TTCL, nami nikiwa mmoja wao.
TTCL kupata vocha zao hadi upande gari uende ukazitafute mjini, naskia ukitumia laini zao kuna baada ya vitu huwezi kuvifanya mitandaoni.. Kama kudownload vitabu na video
 
TTCL kupata vocha zao hadi upande gari uende ukazitafute mjini, naskia ukitumia laini zao kuna baada ya vitu huwezi kuvifanya mitandaoni.. Kama kudownload vitabu na video
Vocha unanunua kupitia Mpesa kwa kufanya yafuatayo:
4. lipa kwa MPesa ===> 4. Weka namba ya Kampuni===> 339999,====Kumbukumbu ya malipo ( hapa weka namba yako ya simu line ya TTCL, tayari umemaliza, nipo hapa kijijini nafurahia vifurushi safi vya TTCL, tatizo lao kifurushi kinakata hawakutumii taarifa,
 
Hao jamaa jana walikuwa na hilo tatizo. Mimi muda mrefu sahivi niko nyumbani "TTCL" nafurahia huduma zao. Changamoto ndogo ndogo zipo hasa T-PESA, sehemu nyingi hawana huduma ya T-PESA.
 
Bado unanunuaga vocha tu mkuu? Narecharge credits kwa SIM banking.

Kuhusu kudownload may be hilo tatizo lilikuwepo zamani, I'm very recent customer wa ttcl na sihawahikupata tatizo lolote kwenye internet
Mgeni hapa mjini utamjua tu.
 
Dalili ya mtu aliyelelewa na single mother ambae ni mchepuko wa mtu wa chama. Kwasababu mama yake anehongwa iPhone anafikiri iPhone ndio kila kitu. Ungemjua babako usingeongea upuuzi
Hahaha aisee daa siyo kwa majibu haya.
 
Dalili ya mtu aliyelelewa na single mother ambae ni mchepuko wa mtu wa chama. Kwasababu mama yake anehongwa iPhone anafikiri iPhone ndio kila kitu. Ungemjua babako usingeongea upuuzi
Hahahaah!!!! Take a chill pill!, usichukulie Jf tooo serious mzee... Hapa natumia sim ya elfu 60 chief....
 
Kwa upande wangu sina mtandao mbovu kwa speed kwa Mashine hii ya iphone 7 ila kwa kufyeeka data mmmh Vodacom wako vzur!
 
Naitumia kwenye data na sim ni 4g mode ila cha kushangaza ni muda sasa inasom 2g aibadiliki na nipo na nipo katikati ya jiji la ndugai
 
Naitumia kwenye data na sim ni 4g mode ila cha kushangaza ni muda sasa inasom 2g aibadiliki na nipo na nipo katikati ya jiji la ndugai
 
Back
Top Bottom