walitola
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,851
- 5,695
Kabisa mkuu mimi mwenyewe natumia ttcl wapo vizur mno sana
TTCL kwenye matumizi ya bando nimewanyooshea mikono. MB 600 tu nimetumia mpaka nimechoka wakati tigo,Airtel na Voda GB 1 inakwisha kwa kusoma SMS WhatsApp tu.
TCR wawachunguze hawa wengine, kwakweli Nyumbani kumenoga na nimesharudi mazima.