F F4B JF-Expert Member Joined Jan 13, 2022 Posts 354 Reaction score 450 Jul 15, 2023 #1 Heading inajieleza wana jamvi, Hawa Tigo huduma yao ya internet iko chini sana (Low siku za hivi karibuni). Yaani bando linaisha tu bila kulitumia vizuri.
Heading inajieleza wana jamvi, Hawa Tigo huduma yao ya internet iko chini sana (Low siku za hivi karibuni). Yaani bando linaisha tu bila kulitumia vizuri.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,639 Jul 15, 2023 #2 Wanazingua sana karibu Airtel
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 14,475 Reaction score 32,718 Jul 15, 2023 #3 F4B said: Heading inajieleza wana jamvi hawa TIGO huduma yao ya internet iko chini sana (Low siku za hivi karibuni). Yaani bando linaisha tu bila kulitumia vizuri. Click to expand... Mbona unatufokea wanajamvi? Hata salamu hakuna
F4B said: Heading inajieleza wana jamvi hawa TIGO huduma yao ya internet iko chini sana (Low siku za hivi karibuni). Yaani bando linaisha tu bila kulitumia vizuri. Click to expand... Mbona unatufokea wanajamvi? Hata salamu hakuna
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 10,004 Reaction score 21,311 Jul 15, 2023 #4 Dp world
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,285 Reaction score 137,783 Jul 15, 2023 #5 Tigo ina unafuu maeneo ya mjini tu. Ila kwa maeneo ya Vijijini, internet yake iko chini mpaka basi.
M mmteule JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 6,035 Reaction score 15,080 Jul 15, 2023 #6 Mimi nimepiga hadi simu kuulizia hili tatizo lkn hakuna majibu ya kueleweka. TIGO BADILIKENI vinginevyo mtaishia kuwa kama ZANTEL mliowanunua!
Mimi nimepiga hadi simu kuulizia hili tatizo lkn hakuna majibu ya kueleweka. TIGO BADILIKENI vinginevyo mtaishia kuwa kama ZANTEL mliowanunua!
Madueke JF-Expert Member Joined Jul 5, 2023 Posts 327 Reaction score 396 Jul 15, 2023 #7 Voda imekaa kizee kizee lakini ukienda trip za vijijini wanasevu sana😎😎😎tigo inaserch mpaka sakata la bandari linaisha haijaleta mlejesho
Voda imekaa kizee kizee lakini ukienda trip za vijijini wanasevu sana😎😎😎tigo inaserch mpaka sakata la bandari linaisha haijaleta mlejesho