A AmonM New Member Joined Jun 8, 2017 Posts 2 Reaction score 0 Jun 8, 2017 #61 Wamesha chcha tangu lini Tigo wako sawa ni wazushi hao
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,390 Jun 9, 2017 #62 Wadada wa jf wanapenda kutumia tigo
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,197 Jun 9, 2017 Thread starter #63 Mrejesho: Leo nimeona option ya halichachi, wamerudisha tena huma hiyo
habari ya hapa JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 12,789 Reaction score 8,753 Jun 9, 2017 #64 CHIKIRA MTABARI said: Wapendwa naomba mnijuze, hivi mtandao wa tigo wamefuta ile huduma yao ya "halichachi"? NImejaribu kubonyeza nyota 148 nyota 00 reli ili nipate hiyo option lakini siioni!!!! Click to expand... Sasa hivi wanataka watu wajazwe, sasa sijui wanamaana gani, huu mtandao kila siku huwa unanipa maswali mengi na slogan zao
CHIKIRA MTABARI said: Wapendwa naomba mnijuze, hivi mtandao wa tigo wamefuta ile huduma yao ya "halichachi"? NImejaribu kubonyeza nyota 148 nyota 00 reli ili nipate hiyo option lakini siioni!!!! Click to expand... Sasa hivi wanataka watu wajazwe, sasa sijui wanamaana gani, huu mtandao kila siku huwa unanipa maswali mengi na slogan zao
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,197 Jun 9, 2017 Thread starter #65 habari ya hapa said: Sasa hivi wanataka watu wajazwe, sasa sijui wanamaana gani, huu mtandao kila siku huwa unanipa maswali mengi na slogan zao Click to expand... Ila leo nimepata option ya "halichachi" jana haikuwepo kabisa. hao ndio TIGO bwana hahahahah
habari ya hapa said: Sasa hivi wanataka watu wajazwe, sasa sijui wanamaana gani, huu mtandao kila siku huwa unanipa maswali mengi na slogan zao Click to expand... Ila leo nimepata option ya "halichachi" jana haikuwepo kabisa. hao ndio TIGO bwana hahahahah
habari ya hapa JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 12,789 Reaction score 8,753 Jun 9, 2017 #66 CHIKIRA MTABARI said: Ila leo nimepata option ya "halichachi" jana haikuwepo kabisa. hao ndio TIGO bwana hahahahah Click to expand... Ushajazwa ukiona hivyo
CHIKIRA MTABARI said: Ila leo nimepata option ya "halichachi" jana haikuwepo kabisa. hao ndio TIGO bwana hahahahah Click to expand... Ushajazwa ukiona hivyo
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,197 Jun 9, 2017 Thread starter #67 habari ya hapa said: Ushajazwa ukiona hivyo Click to expand... eheeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!