Waheshimiwa wana JF naomba niwathibitishie kuwa mtandao tajwa hauna maana yoyote zaidi ya kupoteza muda wa watumaji, personally nimetuma posts zaidi ya wiki mbili sasa ninachojibiwa eti swala bado linashughulikiwa, Ghooosh! si bora turudi kule kule enzi zile za kuandika kwenye uhuru na mzalendo halafu Editor anachagua habasi ipi iandikwe, Damn