Waheshimiwa wana JF naomba niwathibitishie kuwa mtandao tajwa hauna maana yoyote zaidi ya kupoteza muda wa watumaji, personally nimetuma posts zaidi ya wiki mbili sasa ninachojibiwa eti swala bado linashughulikiwa, Ghooosh! si bora turudi kule kule enzi zile za kuandika kwenye uhuru na mzalendo halafu Editor anachagua habasi ipi iandikwe, Damn
Kuna jamaa yeye kaamu kutengeneza webpage yake;kero zinazomgusa anaamua kuziweka kwenye webpage yake kwaajili ya ku-share na wengine.
Nafikiri na yeye labda alikuwa hajui tovuti hii au ameona ni michosho kwake.
webpage yenyewe ni jubi.wordpress.com
Na mimi sijui kama inasaidia. Maana hata hii forum ni kama hiyo web page yao. Waje hapa wasikie kilio cha wananji. Wasipotaka kusikia lakini watakuwa wameshasikia. Wahaya wana msemo unasema "Empisi ekanyampila eibale, eti nolwo otagamba wakaulila" ikimaanisha kwamba fisi alitolea jiwe ushuuzi na kuliambia kuwa ingawa hukusema lakini kaarufu umekasikia" ah ha ha ha hahhhhhhhhh
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.