kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,616
- 19,007
Jf yatosha nyingine ya nini
Inashangaza, kwanini uwende mbali huko ambako hukujui....???
Jf yatosha nyingine ya nini
Huo mtandao nilijiunga nakumbuka msg zake sasa nying napokea wanaume za ajabu ajabu yaan nkafuta haraka hiyo app zinakujaga tu mails ila kuna mwingine unaitwa eskim sjui kwa sasa mana nilijiunga kama miaka miwil nyuma asee full kutongozana nkaona haufai na ipo mingi mshana sio hii pekee
Mamafb mi mwenyew nataka nikutongoze huku huku JF
Mamafb mi mwenyew nataka nikutongoze huku huku JF
Duu sasa atakimbilia wapi? huko kakimbia kutongozwa huku nawe wataka kumsimamia vidole!!